STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,246
Muigizaji anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu,
Gabo Zigamba ameujia juu mtandao mmoja wa
Kenya ambao umedai kuwa yeye ni raia wa Kenya. Mtandao huo uliandika stori yenye kichwa cha
habari “Gabo Kenyan-talented movie actor” . Hata hivyo Ijumaa hii mtandao huyo uliamua
kurekesha habari hiyo. Jinsi kichwa cha habari hiyo kilivyokuwa kabla ya kubadilishwa Muigizaji huyo baada ya kuona taarifa hiyo, kupitia
instagram aliandika: Kinachoweza kuondoa makucha haya ya
majirani ni film tuu. Film is the best method of
propaganda spreading. Na ili tufikie hapo ni
kufanya kazi zenye ubora wa kidunia ili ziende
duniani kufikisha ujumbe.. bado tuna deni
kubwa la kuwavua nguo hawa wadhalimu.. hii vita ya nyenyenye za jirani viongozi wengi
wana nafasi ya kuishiriki ila sioni ushirika wao.
Nna hofu hata tukianza kutengeneza films za
kuuambia ulimwengu juu ya machache
yanayotangazwa na majirani mmh zisijeishia
studio kisa ujirani mwema.. hio ni hofu yangu tuu.. kama trump anamuongelea Puttin on
media vipi viongozi wa serikali yetu hawayaoni
haya yote..? Mimi naamini serikali yetu
inauwezo wa kuita press na media house za
dunia na kuorodhesha yote yaliyodaiwa na
wakenya kuwa yao na kuipa ujumbe serikali ya kenya . Mfano.. Tunajua mengi yatadaiwa
kuwa ni raia tu binafsi na taasisi ndio
zinajitamkia haya mambo. Yaani si kenyan
government.
Lakini mimi najiuliz raia anapoongelea vitu
kama Olduvai gorge ipo kenya mimi najiuliza darasani somo la historia kenya wanafundisha
nini?
bado najiuliza wakenya wanafundishwa
georaphia ya wapi mpaka waseme kilimanjaro
iko kwao?
Mrisho mpoto miaka michache ilopita huko ughaibuni alishikishwa bendera ya kenya na
wakenya,akaishusha bendera stegini. Hongera
kwako mjomba. Sikupoteza nguvu zangu
wakati wa kutoa mchango wangu kwako
mjomba.. Ukitaka kuusimamisha moto nenda
kwenye chanzo.. haya mambo ni ya history na geographia yaani namaanisha hutokana na
elimu wanayopewa.. sasa swali ni kwamba
kama oldivai na kilimanjaro ni viko kwao
unashangaa nn wakisema Gabo ni wao au
mpaka waseme Arusha nayo ni ya kwao
Source: Bongo 5