Tangu urusi awekewe vikwazo,Bei za vyakula UK imepaa kwa 14% kiasi watu wameshindwa mudu Milo na kulazimika kupunguza Milo na kula vyakula vya mbwa na paka
Wanajishauwa tu ili waonekane wanafanya kitu maana urusi alishasema kitambo kuwa nchi yoyote itakayo saini huo ujinga, isahau kupata mafuta yakeWabana pua na mdomo wa Urusi, ikumbukwe tarari walishatia pini kwenye bei ya mafuta ghafi ya Urusi.... Mrusi mpaka aite maji ma...
The price cap on diesel follows on from a price cap on Russian crude oil. The measures are intended to make Russia's invasion of Ukraine unviable.
The Group of Seven (G7) industrialized countries, the European Union and Australia agreed to limit the price of Russian diesel on Friday.
The new price cap focuses on refined oil products, following up from a previous price cap on Russian crude oil exports in December.
The price of diesel will be capped at $100 (€92) per barrel, while lower-quality products such as fuel oil will be capped at $45 per barrel.
Eneo kiasi gani la urusi limechukuliwa!?Erimea vitaishia Crimea, ila leo hii hata Urusi akigeuza na kuacha dhuluma bado hataachiwa, yaani hapa anafakamiwa na kugombaniwa kama mpira wa kona, haachwi...
Russia ataenda kumuuzia shangazi yakeHiki kichekesho kingine, yaan unaweka price cap kwa bidhaa usiyozalisha wewe.
Tutegemee bei ya wese kupaa tena
Mi nimeuliza eneo kiasi gani la nchi ya urusi limechukuliwaKimsingi wameuawa 127,000 na wanauawa na watauawa kwenye ardhi ya wtu, mizoga yao itakua mbolea nzuri sana.
Una shida kwenye fuvu kumbe!!Unongezeka sasa ni zaidi ya 130,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, ilipaswa muwe mumeichukua Ukraine yote.
Ulipoambiwa US wameshaiteka dunia kitambo unafkiri ilimaanisha nini? ni kama vile wewe ni mkulima wa mahindi unalazimika kuuza mahindi yako soko la serikali ambayo ukifika na gunia lako la mahindi sokoni serikali inakupangia bei gunia zima shs elfu 7 ukataka usitake., Ndivyo anavyofanywa Putini saivi anamdhalilisha kila idaraHiki kichekesho kingine, yaan unaweka price cap kwa bidhaa usiyozalisha wewe.
Tutegemee bei ya wese kupaa tena
Huyu jamaa Kenya hawezi wapelekea huu ujinga wakeUna shida kwenye fuvu kumbe!!
Maisha bongo rahisi kuliko Kenya,Kisha kula sembe na matembele yenye ndimu nyingi,anajamba shudu tu humuHuyu jamaa Kenya hawezi wapelekea huu ujinga wake