PreGE2025 G55 kundi lenu halina Mgombea Urais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kila siku mnasema kundi lenu linawakilisha watia nia wa udiwani na ubunge. Mbona sijasikia mkisema mna mtia nia ngazi Urais!?

Naona kama hizi bidii zenu ni kubwa sana kama vile zinachagizwa zaidi na Mgombea Urais kuliko hao watia nia wa Udiwani na Ubunge mnaowataja Kila siku.

Jee G55 kundi lenu halina mtia nia wa ngazi ya Urais?
Mgombea wao wana seme ni Luka
 
Kwa chama kipi na katibu mkuu yupi kusaini fomu yake.
 
Natamani wahamie vyama vingine na wapewe. nafasi ya kugombea
Hawana mvuto, na hivyo vyama vingine havina mvuto pia. Sasa inabidi wabaki cdm huku wakitapishwa hela zote walizohongwa na ccm kwa ahadi kuwa watamshinda Lisu. Sasa wameshindwa, ndio wamepewa plan B, vinginevyo warudishe hela.
 
Plan B nayo imeanza kuvujia nyongo na tayari ni chungu zaidi ya shubiri?
 
Back
Top Bottom