G55 haifika mbali

Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia ACT Wazalendo, Maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka CUF, lkn G55 kila siku wanaishambulia CHADEMA.

Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi. Haifiki mbali
Chadema inapitia stress za kuachwa dah !🐒
 
Wahenga walipata kusema, "Ivumayo haikawii kupasuka.."
 
Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia ACT Wazalendo, Maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka CUF, lkn G55 kila siku wanaishambulia CHADEMA.

Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi. Haifiki mbali
Shida walimbeza Sana lissu wakati anachukua fomu wakiona hawezi kushinda, sasa wasiyemtaka kaja.Kikubwa walipaswa kuwa wapole kwanza, Kila uongozi na zama zake.....
 
G 55 ni wachumia tumbo Kwa hilo wamedhiirisha .....maana ukisikia tu hoja za wakina Salum mwalimu utajua tu Hawa jamaa walikuepo pale kimchongo mchongo.
Sasa Uongozi wakina Lisu na Heche umeleta changes ambazo zimewagharimu harakati zao na mikakati Yao ya kulamba asali.
 
Haahaa nimeipenda hii sana, kwa anayekipenda chadema kwa dhati hawezi kuungana na matendo yanayofanywa na G55 sasa zaidi ya kubeza na kudhalilisha chama hadharani hivi.Wanasingizia mawazo mbadala huku wakikejeli viongozi waliopo, hii SI sawa hata kidogo.Hivi hakuna utaratibu rasmi ndani ya chama wa kuipeleka malalamiko Yao? Kwa Hali inayoendelea wanachama wawajibu rasmi kwa Nia zao ovu.Sasa ni wakati wa wanachadema wote kusimamia.Hatanmbowe ajitokeze rasmi.
 
Reactions: Lax
Wale wazushi tu,
 
Wakati maalim seif kuhama cuf na kuhamia ACT Wazalendo, Maalim na team yake walikuwa mwisho kuitamka CUF, lkn G55 kila siku wanaishambulia CHADEMA.

Hawa jamaa wameumia sana kukosa uongozi. Haifiki mbali
Kuna wakati hata saa mbovu husoma muda sahihi😂😂😂
 
Wale ni Wachaga wanaumia kupokonywa Chama chao mana kilikuwa cha Kikabila
Kama kilikuwa ni chama cha ''wachaga'', mbona kipo mikononi mwa ''watu wengine''? Hii ilikuwa ni propaganda ya kijinga kutoka CCM na sasa hivi inadhihirisha kuwa haikuwa ukweli.
 
Uko sahihi kabisa kabisa. Mwaka 2020, Magufuli alimpa ahadi James Mbatia kuwa NCCR itapewa viti vya ubunge na akapewa escote ya polisi kila alikokuwa anatembelea. Mbatia akavimba kichwa akidhani ameula. Kufika wakati wa uchaguzi akapigwa chini. Wagombea wa ubunge wa CCM nao wanataka washinde kila jimbo. Si rahisi mtu yeyote akubali kuachia jimbo lake.
 
Mtu mwenyewe salum tangu chadema amepooza alafu anaondoka nani ataangaika naye hata huyo benson hana ukubwa wowote
Huyu jamaa mimi nilikuwa simsomi kabisa kabisa. Alikuwa anajaza nafsi tu na wala hana ushawishi wowote.
 
Wanataka kumtapeli Wakili msomi Hashim Rungwe chama chake cha Chaumma

Hawajui Bahari Motors ni mtoto wa town kitambo sana
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, baada ya Selasini kuondoka CHADEMA, ALIPOKELEWA VIZURI na James Mbatia pale NCCR. Lakini mwisho wa siku Mbatia chali. Mzee wa ubwabwa uwe wakini.
 
Mtu mwenyewe salum tangu chadema amepooza alafu anaondoka nani ataangaika naye hata huyo benson hana ukubwa wowote
Sijui walipeanaje nafasi hizo. Benson ni mtupu kabisa. Alipataje nafasi kama ya Heche kwa sasa ya makamu mwenyekiti?. Hajaacha alama yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…