Habari wanabodi.
Najua JF ni msitu mkubwa, ninaomba mwenye kujua hawa watu mahali walipo aninuze.
Nina shida nao kwelikweli. Pamoja na mambo mengine wana/ walikuwa wana jihusisha na mambo ya miamala. Walikuwa mawakala wakuu wa Halotel pengine na mitandao mingine.
Tafadhali mwenye kufahamu mahali naweza kuwapata anisaidie.
Asanteni sana.