Fyokofyoko Pemba.

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,418
9,209
Mazombi wachoma moto Pemba
Written by Abdul Zakinthos // 28/02/2016 // Habari // Hakuna maoni
38fe056d-1a41-4f62-8302-46d460280209

12795361_1280083718684756_495879952137243985_n

12805940_1280083798684748_249479186932715766_n
Watu wasiojulikana wahujumu Pemba
Watu wasiojulika a usiku wa kuamkia jana wamejaribu kuchoma kwa moto nyumba nne wilaya ya chake chake mkoa wa kusini Pemba katika kijiji cha Wawi.
Baadhi ya wananchi wa jijiji hicho walifanikiwa kuzima moto huo kabla ya kutoa kwa hasara kubwa.
Katika tukio jengine watu wasiojulikana wamekata kwa msumeno mlingoti wa bendera kata ofisi za CUF Kichungwani Chake.

(Mazrui)
 
Tumechoka na habar hizi za nchi jirani, ebu tuendelee na kutumbuana majipu, hayo ya jiran hata mkuu wa kaya kasema hawez kuenda kusaidia hivyo tuachane nao wataelewana tu hata wakibaki watatu nchi nzima
 
Dah! naona hawa jamaa wewe wame kutoka sio mchezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom