Hizi ni siasa, na priority iliyopo ni ccm waondoke madarakani kwa gharama yoyote! Mi ningewashangaa ukawa wangeacha hii nafasi ipite. After all chadema sio sawa na ccm kofia zote za Mwenyekiti na uraisi apewe mtu mmoja. Hapa kuna kidhibiti mwendo, mtu anaenda sambamba na ilani ya chama. Na katiba ikibadilishwa baasi!!