Future Russian army could deploy anywhere in the world – in 7 hours

Yaani Russia anawaza vita tuu badala ya kukuza uchumi

Kwa mataifa yenye nguvu bila kuimarisha jeshi huwezi kuza uchumi, wewe unazani kwa nini USA ina bajeti kubwa ya ulinzi? make bila hivyo uchumi utadolola, kazi ya jeshi ni kulinda masilahi ya nchi husika popote plae duniani,
 
Hivi safari ya Putin kuja bongo imeishia wapi?
Si viongozi wenu wanapenda sana kwenda Marekani! na everything Ameriacan ... wamechimbwa mkwara kidogo tu na waMarekani juu ya kurudisha influence ya Urusi katika TZ ikabidi wacancel ziara ooh protocal hazijakamilika.

Kampuni ya Gesi ya Urusi (GazProm) ilikuwa iwekeze kwenye gesi kwa win-win formula ambapo pia walikuwa waingie ubia na gov & technology transfer for Tanzanians, kuwafundisha vijana wengi (in thousand) wakiTz juu ya secta ya gesi - jamaa makampuni yaliyopo tayari wakaona watawaharibia ufisadi wao, wakafanya lobbying asije

Ilikuwa afanye safari moja Egypt & hapa. Ukishakuwa na viongozi ambao hawana backbone.

Mtaendelea kukaa hivo hivyo na Umasikini wenu ... wenzetu hapa jirani Uganda haya wanajengewa Refinery na hao hao warusi mnaowabania.

article-doc-g1ww-6WF9eW5Lc-HSK1-682_634x451.jpg
 
A fleet of several dozen PAK TA air freighters will be able to lift 400 Armata heavy tanks, or 900 light armored vehicles, such as Sprut-SD airborne amphibious self-propelled tank destroyers.

3465576878.jpg

Photo:Russia's T-14 Armata Main Battle Tank.

Now, with ambitious specifications and objectives, the PAK TA is a truly next-generation transport aircraft.

Mkuu Bukyanagandi
,

Hii kitu Armata Main Battle Tank itaonekana kwa mara ya kwanza kwa Public kwenye 2015 Moscow Victory Day Parade, is an upcoming parade that will take place in Red Square in Moscow on 9 May 2015.

video

Kumbuka kabla kuna hii tank Т-90МС lakini hawaitaki wanataka Armata - it seems ni hatari zaidi, lets wait and see.

Ila have a look at iliyokataliwa Т-90МС - it is still deadly

.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mataifa yenye nguvu bila kuimarisha jeshi huwezi kuza uchumi, wewe unazani kwa nini USA ina bajeti kubwa ya ulinzi? make bila hivyo uchumi utadolola, kazi ya jeshi ni kulinda masilahi ya nchi husika popote plae duniani,

Mkuu tatizo letu kuu ni baadhi ya watu kukariri taarifa za CNN, FOXNEWS, CBS nk na kuzichukulia wanayo sikia humo kama ni Gospel truth!! Katika masuala ya propaganda Wamerika wamefanikiwa sana kuteka nyara akili za watu ambao hawana uwezo wa ku-analyse masuala ya Geopolitics kiundani, hawajiulizi hata siku moja kwa nini Wanawasakama Wachina eti waonyeshe bajeti alisi ya jeshi lao, mara ooh Warusi uchumi wao unayumba kwa nini wanaendelea kuhunda Silaha kali, mara ooh ma-hackers wa Urusi wamevamia mifumo yote ya IT ya Merikani kuanzia Serikalini, viwanda vya Silaha nk wanasahau kwamba Wamerika waliwahi kutamba duniani eti Warusi hawana akili na uwezo wa kuingilia mifumo yao ya komputa - propaganda tu za kitoto, wanawasema vibaya Warusi huku wanakwenda kuwaomba/nunua injini za Urusi za kusaidia kurusha roketi za Wamerikani, vile vile ni roketi za Kirusi ndizo zinategemewa sana katika kupeleka wana anga, spae, vyakula, madawa nk kwenye Satellite ya Kimataifa!!

Juzi juzi hapa Meli ya Kimerikani ilihingia Black Sea, kumbe Warusi walikuwa wanaifatilia (track) wakitumia mfumo wao wa kipelelezi na walijuwa wazi wazi kwamba Meli hiyo ndiyo yenye mfumo mkali wa kiulizi - kama kawaida yao Wamerikani walikuwa wanatamba sana kuhusu uwezo mkubwa wa kivita meli hiyo, basi Warusi wakaona wamepata Golden Chance ya kuwapa fundisho Wamerikani - Meli ilipokaribia sehemu Warusi wakarusha ndege nne kutoka the nearest base, mbili zikaruka kwenye higher attitude mbili zikaruka kwenye low attitude - Rada za Meli ya Kimerikani ziliweza ku-detect kasi, mwelekeo, na attitude za ndege za URUSI zikiwa umbali wa 50km, Wamerika wanasema baada ya sekunde kama kumi hivi kupita mara Screens za Rada, Compyutas, mawasiliano ya Radio (groundwave,skywaves including Satellites coms) zikazima gafla i.e hakuna cha mawasiliano yoyote na the nearest American Command and Control base!! - watu wa IT wanajua maana ya Blue Death (Diplay Units zinawaka rangi ya Blue tu uoni chochote!) na hicho ndicho kilicho tokea kwenye Meli ya Kimerikani, wanamaji wataalamu wa meli hiyo walijuwa wazi wazi kilicho wasibu - hawakuwa na la kufanya wakabaki wanangalia Ndege zinavyo katiza anga lao na kwa kuwa hazikuwa armed, Wanamaji wa kimerikani hawakuwa na wasi wasi!!

Ukosefu wa mawasiliano na uingiliwaji wa mfumo mzima wa control system za silaha za Meli hiyo zikawa hazifanyi kazi!! Tukio hilo lilidumu kwa dakika zote ishirini ambazo ndege za Urusi zilikuwa zina zunguka Meli ya Merikani, baada ya ndege hizo kuondoka eneo hilo ndio mawasiliano na Control system zikafufuka!! Tukio hilo liliwashtua sana baadhi ya wanamaji wa meli hiyo, inasemekana baada ya Wanamaji hao kueleza Wakubwa wao tukio zima lililo tia aibu Merikani, basi baadhi Wanamaji waliwasilisha barua ya kuomba kuhacha kazi za kijeshi na kutafuta kazi nyingine.
 
Mkuu tatizo letu kuu ni baadhi ya watu kukariri taarifa za CNN, FOXNEWS, CBS nk na kuzichukulia wanayo yasikia humo kama ni Gospel truth!! Katika masuala ya propaganda Wamerika wamefanikiwa sana kuteka nyara akili za watu ambao hawana uwezo wa ku-analyse masuala ya Geopolitics kiundani, hawajiulizi hata siku moja kwa nini Wanawasakama ....
Hili ndio tatizo kubwa linalowakabili watu wengi duniani si Tanzania tu, hawajui kuwa mashirika ya Kimataifa ya habari wao wana-represent interests za watu wachache & kupindisha ukweli wa mambo kwa maslahi yao ya geopolitics & World domination.
 
Mkuu tatizo letu kuu ni baadhi ya watu kukalili taarifa za CNN, FOXNEWS, CBS nk na kuzichukulia wanayo yasikia humo kama ni Gospel truth!! Katika masuala ya propaganda Wamerika wamefanikiwa sana kuteka nyara akili za watu ambao hawana uwezo wa ku-analyse masuala ya Geopolitics kiundani, hawajiulizi hata siku moja kwa nini Wanawasakama Wachina eti waonyeshe bajeti alisi ya jeshi lao, mara ooh Warusi uchumi wao unayumba kwa nini wanaendelea kuhunda Silaha kali, mara ooh ma-hackers wa Urusi wamevamia mifumo yote ya IT ya Merikani kuanzia Serikalini, viwanda vya Silaha nk wanasahau kwamba Wamerika waliwahi kutamba duniani eti Warusi hawana akili na uwezo wa kuingilia mifumo yao ya komputa - propaganda tu za kitoto, wanawasema vibaya Warusi huku wanakwenda kuwaomba/nunua injini za Urusi za kusaidia kurusha roketi za Wamerikani, vile vile ni roketi za Kirusi ndizo zinategemewa sana katika kupeleka wana anga, spae, vyakula, madawa nk kwenye Satellite ya Kimataifa!!

Juzi juzi hapa Meli ya Kimerikani ilihingia Black Sea, kumbe Warusi walikuwa wanaifatilia (track) wakitumia mfumo wao wa kipelelezi na walijuwa wazi wazi kwamba Meli hiyo ndiyo yenye mfumo mkali wa kiulizi - kama kawaida yao Wamerikani walikuwa wanatamba sana kuhusu uwezo mkubwa wa kivita meli hiyo, basi Warusi wakaona wamepata Golden Chance ya kuwapa fundisho Wamerikani - Meli ilipokaribia sehemu Warusi wakarusha ndege nne kutoka the nearest base, mbili zikaruka kwenye higher altitude mbili zikaruka kwenye low altitude - Rada za Meli ya Kimerikani ziliweza ku-detect kasi,mwelekeo, altitude za ndege za URUSI zikiwa umbali wa 50km, Wamerika wanasema baada ya sekunde kama kumi hivi kupita mara Screens za Rada, Compyutas, mawasiliano ya Radio (groundwave,skywaves including Satellites coms) zikazima gafla i.e hakuna cha mawasiliano yoyote na the nearest American Command and Control base!! - watu wa IT wanajua maana ya Blue Death (Diplay Units zinawaka rangi ya green tu uoni chochote!) na hicho ndio kilicho tokea kwenye Meli ya Kimerikani, wanamaji wataalamu wa meli hiyo walijuwa wazi wazi kilicho wasibu - hawakuwa na la kufanya wakabaki wanangalia Ndege zinavyo katiza anga lao na kwa kuwa hazikuwa armed Wanamaji wa kimerikani hawakuwa na wasi wasi!!

Ukosefu wa mawasiliano na uingiliwaji wa mfumo mzima wa control system za silaha za meli hiyo zikawa hazifanyi kazi tukio hilo lilidumu kwa dakika zote ishirini ambazo ndege za Urusi zilikuwa zina zunguka Meli ya Merikani, baada ya ndege hizo kuondoka eneo hilo ndio mawasiliano na Control system zikafufuka!! Tukio hilo liliwashtua sana baadhi ya wanamaji wa meli hiyo inasemekana baadhi yao waliomba kuacha kazi za kijeshi na kutafuta kazi nyingine.

Uongo ila mtamu nakushauri uungane na
Shigongo
 
Si viongozi wenu wanapenda sana kwenda Marekani! na everything Ameriacan ... wamechimbwa mkwara kidogo tu na waMarekani juu ya kurudisha influence ya Urusi katika TZ ikabidi wacancel ziara ooh protocal hazijakamilika.

Kampuni ya Gesi ya Urusi (GazProm) ilikuwa iwekeze kwenye gesi kwa win-win formula ambapo pia walikuwa waingie ubia na gov & technology transfer for Tanzanians, kuwafundisha vijana wengi (in thousand) wakiTz juu ya secta ya gesi - jamaa makampuni yaliyopo tayari wakaona watawaharibia ufisadi wao, wakafanya lobbying asije

Ilikuwa afanye safari moja Egypt & hapa. Ukishakuwa na viongozi ambao hawana backbone.

Mtaendelea kukaa hivo hivyo na Umasikini wenu ... wenzetu hapa jirani Uganda haya wanajengewa Refinery na hao hao warusi mnaowabania.

article-doc-g1ww-6WF9eW5Lc-HSK1-682_634x451.jpg

Mkuu sasa ndo napata picha kwanini lowasa anapendwa nje na ndani. Nafikiri yeye atakuja kuwasimamia hao jamaa investment zao. Na i gues rostam pia atarudi kwa kishindo akisikia lowasa ni mgombea urais.
Sijui watanzania tumelogwa????
 
Kama anauwezo wa kutengeneza vitu vyote hivyo, ina maana uchumi wake ni mzuri. kwani umeshasikia warusi wanaandamana hawana ajira au wanaenda kukopa pesa benki ya dunia?

Wewewe yaani uandame Urusi! Yaani kipondo cha FFU wa kule hakina cha haki za binadamu nakwambia.
 
Mkuu tatizo letu kuu ni baadhi ya watu kukalili taarifa za CNN, FOXNEWS, CBS nk na kuzichukulia wanayo yasikia humo kama ni Gospel truth!! Katika masuala ya propaganda Wamerika wamefanikiwa sana kuteka nyara akili za watu ambao hawana uwezo wa ku-analyse masuala ya Geopolitics kiundani, hawajiulizi hata siku moja kwa nini Wanawasakama Wachina eti waonyeshe bajeti alisi ya jeshi lao, mara ooh Warusi uchumi wao unayumba kwa nini wanaendelea kuhunda Silaha kali, mara ooh ma-hackers wa Urusi wamevamia mifumo yote ya IT ya Merikani kuanzia Serikalini, viwanda vya Silaha nk wanasahau kwamba Wamerika waliwahi kutamba duniani eti Warusi hawana akili na uwezo wa kuingilia mifumo yao ya komputa - propaganda tu za kitoto, wanawasema vibaya Warusi huku wanakwenda kuwaomba/nunua injini za Urusi za kusaidia kurusha roketi za Wamerikani, vile vile ni roketi za Kirusi ndizo zinategemewa sana katika kupeleka wana anga, spae, vyakula, madawa nk kwenye Satellite ya Kimataifa!!

Juzi juzi hapa Meli ya Kimerikani ilihingia Black Sea, kumbe Warusi walikuwa wanaifatilia (track) wakitumia mfumo wao wa kipelelezi na walijuwa wazi wazi kwamba Meli hiyo ndiyo yenye mfumo mkali wa kiulizi - kama kawaida yao Wamerikani walikuwa wanatamba sana kuhusu uwezo mkubwa wa kivita meli hiyo, basi Warusi wakaona wamepata Golden Chance ya kuwapa fundisho Wamerikani - Meli ilipokaribia sehemu Warusi wakarusha ndege nne kutoka the nearest base, mbili zikaruka kwenye higher altitude mbili zikaruka kwenye low altitude - Rada za Meli ya Kimerikani ziliweza ku-detect kasi,mwelekeo, altitude za ndege za URUSI zikiwa umbali wa 50km, Wamerika wanasema baada ya sekunde kama kumi hivi kupita mara Screens za Rada, Compyutas, mawasiliano ya Radio (groundwave,skywaves including Satellites coms) zikazima gafla i.e hakuna cha mawasiliano yoyote na the nearest American Command and Control base!! - watu wa IT wanajua maana ya Blue Death (Diplay Units zinawaka rangi ya green tu uoni chochote!) na hicho ndio kilicho tokea kwenye Meli ya Kimerikani, wanamaji wataalamu wa meli hiyo walijuwa wazi wazi kilicho wasibu - hawakuwa na la kufanya wakabaki wanangalia Ndege zinavyo katiza anga lao na kwa kuwa hazikuwa armed Wanamaji wa kimerikani hawakuwa na wasi wasi!!

Ukosefu wa mawasiliano na uingiliwaji wa mfumo mzima wa control system za silaha za meli hiyo zikawa hazifanyi kazi tukio hilo lilidumu kwa dakika zote ishirini ambazo ndege za Urusi zilikuwa zina zunguka Meli ya Merikani, baada ya ndege hizo kuondoka eneo hilo ndio mawasiliano na Control system zikafufuka!! Tukio hilo liliwashtua sana baadhi ya wanamaji wa meli hiyo inasemekana baadhi yao waliomba kuacha kazi za kijeshi na kutafuta kazi nyingine.

Uongo ila mtamu nakushauri uungane na
Shigongo
Mkuu sintah ..... Kuna uongo gani hapo alipoeleza Mkuu Bukyanagandi ... kama hujui mambo kaa kimya acha kusingizia watu kuwa eti waongo! ... hebu soma hapa chini na pia kuna links for futher readings tena kutoka kwa hao hao CIA, NSA na veterans wanaopigania vita ya Marekani wanaeleza ukweli.

Sasa wewe CIA wanasema technologia aliotumia Russia kuwazima mitambo yako siyo technologia ya dunia hii (Alien Technology) wewe ni nani na unajua nini zaidi ya hao CIA wako?!

Tatizo lako unaangalia mambo kishabiki ... keep on believing hao wanaokuambia kuwa vitu kama US Aegis system. Currently installed on the most sophisticated US Navy warships ndio bora zaidi duniani.

Dont underestimate your opponent!

Wewe jiulize mbona juzi tu hapa the best sophisticated US Navy warships USS Donald Cookilikuwa DISABLED kwa ndege moja tu ya Kirusi ya SU-24 Flanker katika Black Sea!

US destroyer "Donald Cook" with cruise missiles "Tomahawk" entered the neutral waters of the Black Sea on April 10. The purpose was a demonstration of force and intimidation in connection with the position of Russia in Ukraine and Crimea. The appearance of American warships in these waters is in contradiction of the Montreux Convention about the nature and duration of stay in the Black Sea by the military ships of countries not washed by this sea.

In response, Russia sent an unarmed bomber Su- 24 to fly around the U.S. destroyer. However, experts say that this plane was equipped with the latest Russian electronic warfare complex. According to this version, "Aegis" spotted from afar the approaching aircraft, and sounded alarm. Everything went normally, American radars calculated the speed of the approaching target. And suddenly all the screens went blank. "Aegis" was not working any more, and the rockets could not get target information. Meanwhile, Su-24 flew over the deck of the destroyer, did battle turn and simulated missile attack on the target. Then it turned and repeated the maneuver. And did so 12 times.

Apparently, all efforts to revive the "Aegis" and provide target information for the defense failed.

And

Was this impressive technology demonstration by Russia on the USS Donald Cook, a warning to America to stop poking the Russian bear as we have been doing by financing the coup in Kiev and installing a puppet government busy killing civilians in Eastern Ukraine? The Aegis radar system of the US Navy was supposedly the most sophisticated radar in the world. It's clear now that the Russians have technology so advanced the Aegis radar is now a complete joke and totally obsolete. Every ship we have is now a complete sitting duck. The US has been shown that the Russians totally outclass the conventional US weapons and aren't going to be pushed around. We have insane people in control of the US that keep pushing though. It's almost as if they want to get World War 3 going so they can stop the awakening going on around the planet.

Wewe endelea kuongea kishabiki ila hao wenzako wamerekani waliopo kwenye defense industry wanajua kuwa sio scrap

Read more: (click links below)

AEGIS Fail in Black SEA, Ruskies Burn Down USS Donald "Duck" | Veterans Today

What frightened the USS Donald Cook so much in the Black Sea?

Did Russia Disable US Ship With Alien Technology? | Alternative
 
Mkuu DotWorld, majibu jibu ya mwenzetu yanadhilisha wazi wazi kwamba yanayo jadiliwa hapa "SOUNDS GREEK TO HIM/HER" ndio maana sikuona sababu ya kumjibu au inawezakana anajua lakini kwa kuwa yeye anafikiri the World is America hawezi kuona Dunia in 3D.
 
Yeah Mkuu Bukyanagandi na mimi ngoja niwanyamazie tu.

Bytheway as we chat right now Russia ame-authorize China auziwe S400 Air Defense Systems, inakuwa ni nchi ya kwanza duniani kuuziwa hii system

Fuatilia kujua zaidi .. hii post (link)

https://www.jamiiforums.com/international-forum/835702-russia-confirms-arms-deal-to-supply-china-with-s-400-air-defense-systems.html
 
Si viongozi wenu wanapenda sana kwenda Marekani! na everything Ameriacan ... wamechimbwa mkwara kidogo tu na waMarekani juu ya kurudisha influence ya Urusi katika TZ ikabidi wacancel ziara ooh protocal hazijakamilika.

Kampuni ya Gesi ya Urusi (GazProm) ilikuwa iwekeze kwenye gesi kwa win-win formula ambapo pia walikuwa waingie ubia na gov & technology transfer for Tanzanians, kuwafundisha vijana wengi (in thousand) wakiTz juu ya secta ya gesi - jamaa makampuni yaliyopo tayari wakaona watawaharibia ufisadi wao, wakafanya lobbying asije

Ilikuwa afanye safari moja Egypt & hapa. Ukishakuwa na viongozi ambao hawana backbone.

Mtaendelea kukaa hivo hivyo na Umasikini wenu ... wenzetu hapa jirani Uganda haya wanajengewa Refinery na hao hao warusi mnaowabania.

[/QUOTE

We gonna regret our own folly!!
 
Usilete sayansi kimu hapa, leta Data.

kwa iyo ulivyo pimbi unataka kufananisha uwezo wa russia na U.S katika kumobilize jesh fast across the border!!?... mbona vitu vipo very obvious kabisa...
najua russia pia yupo vizur sana kijesh ilo siping..Lakin kweny uwez wa kumobiliz jesh na vifaa acros the border in large numbe and efficiently,..Ni waz kabisa rissia kazidiwa sana thats kaamua kuja na iyo project yake....in other way thats the threat to U.S so nao watakuja na plan ingine...
N.B: mkuu punguza unazi cz utashindwa kufikiri properly..
 
7 hours mbona nyingi sana,zile 800 military bases around the World,missile cruisers and Aircraft carriers nafikiri is just a matter of minutes popote pale duniani.
 
Yeah Mkuu Bukyanagandi na mimi ngoja niwanyamazie tu.

Bytheway as we chat right now Russia ame-authorize China auziwe S400 Air Defense Systems, inakuwa ni nchi ya kwanza duniani kuuziwa hii system

Fuatilia kujua zaidi .. hii post (link)

https://www.jamiiforums.com/international-forum/835702-russia-confirms-arms-deal-to-supply-china-with-s-400-air-defense-systems.html

Mkuu jamaa hawa wanashirikiana sana katika masuala ya ulizi na uhudwaji silaha, wanabadirishana vile vile masuala ya kijasusi kwa kuwa Wachina ni rahisi kugundurika kutokana na sura zao basi wakiwa wanalazimika kufanya espoinage kuhusu masuala nyeti kutoka nchi za magharibi uwatumia Warusi hasa wanawake wenye sura za kizungu ambao wanazungumza lugha za nchi husika bila ya kuwa na accent ya Kirusi, Putin anazungumza Kijerumani kama mzaliwa wa huko.

Taarifa hizi za Wachina kuuziwa S400 ADS ni kama publicity stunt ya kumshtua Uncle SAM, sijui Uncle SAM hilo atalichukuliaje ukiweka maanani kwamba Wachina now posses a deadly AIRCRAFT CARRIER Killer ambayo inawakosesha usingizi Wamerikani kwa kuwa wanajua hawana Defense System yoyote ya kuzuia silaha hiyo ya Kichina yenye uwezo mkubwa wa kuzamisha Aircraft Carries zao zote - DONG FENG-21D Carrier Killer is really a game changer - fortunately Uncle SAM knows how formidable this beast is.

Kama nilivyo sema hapo juu, Wachina walisha pewa/nunua S400 ADS muda mrefu wamezisambaza kwenye Mission Critical Key areas ndani ya Uchina yenyewe.

Ushirikiano baina ya Uchina na Urusi goes back mapema 1950s - 1960s katika kipindi hicho Warusi Walijenga viwanda vingi Uchina, kufudisha Wachina fani nyingi za kiufundi na fani nyingine kama Nuclear Physics, Mafuta na Gesi nk mafunzo hayo yalifanyka kwenye Vyuo Vikuu vya huko URUSI, Wachina walipo tishiwa na Merikani kwa suala la Taiwan kwenye miaka ya 60s Wachina wakaona kuna umuhimu wa kulipua Nuclear Bomb Angani ili Dunia hasa hasa Merikani itambue kwamba Uchina nayo ina mabom ya Nuclear - kuna Engineer wa Kichina aliye soma Urusi aliwahi kuniambia kwamba ukweli wa mambo ni kwamba Wachina walipewa Bomb la Nuclear na Warusi kwa kuwa watalaamu wao walikuwa bado wapo mafunzoni Urusi, waliwapa walilipue fasta kuodoa tishio la Wamerikani, baadae kwenye miaka ya sabini watalaam wa Kichina walifanikiwa kulipua Hydrogen Bomb (Thermonuclear Bomb) na kujihakikishia usalama zaidi dhidi ya chochoko za Uncle SAM. Mkuu my Swahili is a bit rusty.
 
Mkuu tatizo letu kuu ni baadhi ya watu kukariri taarifa za CNN, FOXNEWS, CBS nk na kuzichukulia wanayo sikia humo kama ni Gospel truth!! Katika masuala ya propaganda Wamerika wamefanikiwa sana kuteka nyara akili za watu ambao hawana uwezo wa ku-analyse masuala ya Geopolitics kiundani, hawajiulizi hata siku moja kwa nini Wanawasakama Wachina eti waonyeshe bajeti alisi ya jeshi lao, mara ooh Warusi uchumi wao unayumba kwa nini wanaendelea kuhunda Silaha kali, mara ooh ma-hackers wa Urusi wamevamia mifumo yote ya IT ya Merikani kuanzia Serikalini, viwanda vya Silaha nk wanasahau kwamba Wamerika waliwahi kutamba duniani eti Warusi hawana akili na uwezo wa kuingilia mifumo yao ya komputa - propaganda tu za kitoto, wanawasema vibaya Warusi huku wanakwenda kuwaomba/nunua injini za Urusi za kusaidia kurusha roketi za Wamerikani, vile vile ni roketi za Kirusi ndizo zinategemewa sana katika kupeleka wana anga, spae, vyakula, madawa nk kwenye Satellite ya Kimataifa!!

Juzi juzi hapa Meli ya Kimerikani ilihingia Black Sea, kumbe Warusi walikuwa wanaifatilia (track) wakitumia mfumo wao wa kipelelezi na walijuwa wazi wazi kwamba Meli hiyo ndiyo yenye mfumo mkali wa kiulizi - kama kawaida yao Wamerikani walikuwa wanatamba sana kuhusu uwezo mkubwa wa kivita meli hiyo, basi Warusi wakaona wamepata Golden Chance ya kuwapa fundisho Wamerikani - Meli ilipokaribia sehemu Warusi wakarusha ndege nne kutoka the nearest base, mbili zikaruka kwenye higher attitude mbili zikaruka kwenye low attitude - Rada za Meli ya Kimerikani ziliweza ku-detect kasi, mwelekeo, na attitude za ndege za URUSI zikiwa umbali wa 50km, Wamerika wanasema baada ya sekunde kama kumi hivi kupita mara Screens za Rada, Compyutas, mawasiliano ya Radio (groundwave,skywaves including Satellites coms) zikazima gafla i.e hakuna cha mawasiliano yoyote na the nearest American Command and Control base!! - watu wa IT wanajua maana ya Blue Death (Diplay Units zinawaka rangi ya Blue tu uoni chochote!) na hicho ndicho kilicho tokea kwenye Meli ya Kimerikani, wanamaji wataalamu wa meli hiyo walijuwa wazi wazi kilicho wasibu - hawakuwa na la kufanya wakabaki wanangalia Ndege zinavyo katiza anga lao na kwa kuwa hazikuwa armed, Wanamaji wa kimerikani hawakuwa na wasi wasi!!

Ukosefu wa mawasiliano na uingiliwaji wa mfumo mzima wa control system za silaha za Meli hiyo zikawa hazifanyi kazi!! Tukio hilo lilidumu kwa dakika zote ishirini ambazo ndege za Urusi zilikuwa zina zunguka Meli ya Merikani, baada ya ndege hizo kuondoka eneo hilo ndio mawasiliano na Control system zikafufuka!! Tukio hilo liliwashtua sana baadhi ya wanamaji wa meli hiyo, inasemekana baada ya Wanamaji hao kueleza Wakubwa wao tukio zima lililo tia aibu Merikani, basi baadhi Wanamaji waliwasilisha barua ya kuomba kuhacha kazi za kijeshi na kutafuta kazi nyingine.

Acha fiksi kiongozi. Hii ni wishful thinking.
 
Wishful thinking?
Mkuu aloycious .. Hebu soma hiypo post hapo juu
Link: https://www.jamiiforums.com/international-forum/834558-future-russian-army-could-deploy-anywhere-in-the-world-%96-in-7-hours-2.html#post12443363
.

AU soma hapa alafu chini kuna some links soma utapata story yenyewe

Dont underestimate your opponent!

Wewe jiulize mbona juzi tu hapa the best sophisticated US Navy warships USS Donald Cookilikuwa DISABLED kwa ndege moja tu ya Kirusi ya SU-24 Flanker katika Black Sea!

US destroyer "Donald Cook" with cruise missiles "Tomahawk" entered the neutral waters of the Black Sea on April 10. The purpose was a demonstration of force and intimidation in connection with the position of Russia in Ukraine and Crimea. The appearance of American warships in these waters is in contradiction of the Montreux Convention about the nature and duration of stay in the Black Sea by the military ships of countries not washed by this sea.

In response, Russia sent an unarmed bomber Su- 24 to fly around the U.S. destroyer. However, experts say that this plane was equipped with the latest Russian electronic warfare complex. According to this version, "Aegis" spotted from afar the approaching aircraft, and sounded alarm. Everything went normally, American radars calculated the speed of the approaching target. And suddenly all the screens went blank. "Aegis" was not working any more, and the rockets could not get target information. Meanwhile, Su-24 flew over the deck of the destroyer, did battle turn and simulated missile attack on the target. Then it turned and repeated the maneuver. And did so 12 times.

Apparently, all efforts to revive the "Aegis" and provide target information for the defense failed.

And

Was this impressive technology demonstration by Russia on the USS Donald Cook, a warning to America to stop poking the Russian bear as we have been doing by financing the coup in Kiev and installing a puppet government busy killing civilians in Eastern Ukraine? The Aegis radar system of the US Navy was supposedly the most sophisticated radar in the world. It's clear now that the Russians have technology so advanced the Aegis radar is now a complete joke and totally obsolete. Every ship we have is now a complete sitting duck. The US has been shown that the Russians totally outclass the conventional US weapons and aren't going to be pushed around. We have insane people in control of the US that keep pushing though. It's almost as if they want to get World War 3 going so they can stop the awakening going on around the planet.

Wewe endelea kuongea kishabiki ila hao wenzako wamerekani waliopo kwenye defense industry wanajua kuwa sio scrap

Read more: (click links below)

AEGIS Fail in Black SEA, Ruskies Burn Down USS Donald "Duck" | Veterans Today

What frightened the USS Donald Cook so much in the Black Sea?

Did Russia Disable US Ship With Alien Technology? | Alternative.
 
Back
Top Bottom