Futuhi nilianza kuwapenda,lakin kuanzia leo....

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,558
2,701
hawa jamaa niliwapenda sana hasa mzee wa kukurupuka ,na yule tozi wa kihaya na wale wadada,lakn leo nimeona sura mpya nj wako shalow ile mbaya,hawachekesh kabsaaaa, nauliza yuknw wap toz wa kihaya? Asiporud,mi futuh ndo siangalii tena,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom