malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,919
- 4,709
Wakuu habar poleni majukum wakuu nauliza je fuso longbase iliyonahali nzuri mkononi kwa mtu naweza pata kwa shilingi ngap
Unamaanisha Tandam? Kama ndio basi ni 25mil - 35 mil kulingana na hali yake.
Sio tandamu hizi zakwaida zakubeba tone12 ambazo wengine wanaziwekea bombe zaturubai kufunikaUnamaanisha Tandam? Kama ndio basi ni 25mil - 35 mil kulingana na hali yake.
Hizo sijuiSio tandamu hizi zakwaida zakubeba tone12 ambazo wengine wanaziwekea bombe zaturubai kufunika