Shuleless JF-Expert Member Aug 12, 2015 4,954 6,212 Jan 25, 2016 #1 Habari wadau.. Nauza Fuso fighter tandem ipo kwenye Hali nzuri. Engine 6D16 Ina Turbo Aliye interested Anitafute kwenye namba hii 0719065116 Bei 50M TSh. Pungufu tunaongea. Attachments IMG_20160125_112419.jpg 210.4 KB · Views: 338
Habari wadau.. Nauza Fuso fighter tandem ipo kwenye Hali nzuri. Engine 6D16 Ina Turbo Aliye interested Anitafute kwenye namba hii 0719065116 Bei 50M TSh. Pungufu tunaongea.
KikulachoChako JF-Expert Member Jul 21, 2013 18,894 36,211 Jan 25, 2016 #2 Nikiipata kama mimi hiyo umasikini kwishney......huu umasikini mbaya sana....vizuri vinatupita hivi hivi....
Nikiipata kama mimi hiyo umasikini kwishney......huu umasikini mbaya sana....vizuri vinatupita hivi hivi....
dansmith JF-Expert Member Dec 21, 2013 2,305 2,094 Jan 25, 2016 #3 Kuna yetu ilibwa hebu weka number bob
jovin607 JF-Expert Member Jul 15, 2015 469 312 Aug 1, 2017 #4 Kwa bei hiyo huwezi kupata mteja nakushauri anza na 40/35 uza la sivyo utaliuza kimtindo yani kimoja kimoja Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa bei hiyo huwezi kupata mteja nakushauri anza na 40/35 uza la sivyo utaliuza kimtindo yani kimoja kimoja Sent using Jamii Forums mobile app