Fursa

Fursa

Joined
Sep 27, 2015
Posts
78
Reaction score
19
Habari za muda huu wa bodi natumaini wote ni wazima wa afya njema, wajitokeza kwenu kutafuta watu tutakae shirikiana katika biashara, mimi ni namiliki blog pia Nina online TV ila kwa sasa nahitaji watu wa kushirikiana nao kwenye biashara hii kwa upande wa blog inafanya vizuri kama kuna ambao wako tayari njoo pm.
 
unataka mtu ambae yuko na biashara umtangazie au unataka mtu wa kuchapisha habari Kwa blog yako mgawane mapato
 
Wengine hatuna maujuzi ya ivi vitu, ngoja waje
 
Back
Top Bottom