neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 710
- 2,377
Msipende kukatishana tamaa ndugu, haya mambo kama unaona ni uongo ingia GoogleMpk wanase sw
Kwa hiyo mabenk wanapopita kutoa elimu ili ujiunge nao maanake hawana hela!! Acha mawazo ya kukaririshwa ndugu, hakuna biashara isiyo na matangazo, na kutangaza haimanishi kuwa Huna hela sawa mkuu!! Wewe kama Huna interest nayo ni bora kunyamaza nayo ni hekima pia!Umeandika vibaya.
Wenye Pesa huwa ni wawasilishaji wazuri wa kile wanachotaka kusaidia watu. Hii tu inaonyesha bado kuna kitu unavizia na huna hizo pesa maana hata hivyo unasema kuna watu flani wanapesa maana yake wewe huna.
Umejaribu kwa waalimu na vijana wa Chuo? Ungewajaribu kwanza hao.Habari wakuu, jana nilileta bandiko hapa kwa wale wasio na kazi au wenye kupata japo masaa mawili kwa siku kuwa kwenye mtandao kutengeneza pesa kupitia simu zao wengi walibeza, lakini nilichokigundua kuwa wengi humu mmekaririshwa kuwa yeyote anayekuja humu na tangazo la fursa ni tapeli kitu ambacho sio kweli, kuna vijana wa kitanzania wametengeneza fursa nyingi kupitia mtandaoni na maisha yao yanaendelea, na wanapata pesa nyingi sana, shida humu wengi mna maisha yenu, mmeajriwa mnawakqtisha vijana fursa, Leo hii kuna vijana wengi wapo vyuo vikuu muda ule wanaotumia kupumzika wanaweza kuutumia kutengeneza fedha,, ni kweli kwamba biashara na matangazo mengi ya mtandaoni yamekuwa ya kitapeli lakini nikwambie kuwa kuna mengine ni fursa kweli hupaswi kubeza, mfano ni kampuni ya App pesa hii ipo hapa hapa Tanzania kuna vijana wengi wameajiajiri kupitia kampuni hii, na wanapata pesa kila siku, kampuni wanauza view kila unapoview video, YouTube, tiktok, Facebook, Instagram na kujibu maswali yao kila siku unaingiziwa hela yako kwenye account! Sasa unakuta kijana Ana chezea simu masaa mpaka 7 kwa siku na hajaingiza hata 1000/= lakini kuna watu wamebuni fursa mtandaoni na wamesaidiq wengi, wewe kama unahisi huu ni utapeli, ingia mtandaoni search neno App pesa, utakutana nayo huko, fuatilia kuanzishwa kwake mpaka kazi inayofanyika huko, baada ya kuridhika njoo uncomment huku kama ni utapeli! Kimsingi kila kitu kina gharama zake kwa ajili ya aliyeanzisha hiyo app lakini hupaswi kuogopa maana hiyo hela unaweza kuirudishq ndani ya Lisaa moja, nimekuja kuwashirikisha maana mm mwenyewe ni mnufaika wa hii, lakini kutokana kuwa bado wanahitaji watu ndo maana tunawashirikisha hasa kwa wale wanaotamani kuingiza pesa kupitia simu zao! Tazama Mfano hapa chini ukishajisajiri, malipo yanafanywa kama ifuatavyo ( wewe ambaye upo tiyari njoo inbox nikupe maelekezo) na jinsi ya kujisajiri
Boresha uandishi ili kusudi lako liwafikie walengwa unliokusudiaKwa hiyo mabenk wanapopita kutoa elimu ili ujiunge nao maanake hawana hela!! Acha mawazo ya kukaririshwa ndugu, hakuna biashara isiyo na matangazo, na kutangaza haimanishi kuwa Huna hela sawa mkuu!! Wewe kama Huna interest nayo ni bora kunyamaza nayo ni hekima pia!
Hii ni platform kama zilivyo zingine, na huku pia kuna watu ndo maana matangazo hata kwenye radio yapo, TV, na wengi wa hao ni wafuatiliaji wazuri wa mitandao ya kijamii, pamoja na hilo, lakini mitandao imeturahishia kazi mkuu!! Unaweza ukaenda chuo usiwapate wote, au pia usipate nafasiUmejaribu kwa waalimu na vijana wa Chuo? Ungewajaribu kwanza hao.
Ukitumia mfano wa waliofeli hautafanikiwa mkuu, lakini hii app pesa ina vyote hivyo mkuu, kuna mpaka biashara huko, kuna watu wanatangaza bishara zao huko, lakini pia kuagiza mizigo, lakini lengo kubwa ni kuview kazi za watu, wao wananufaika na wewe unanufaika, lakini pia kuna mpaka mikopo ya papo kwa papo, naomba uje inbox nikupe namba yangu nitakuelekeza na kukutumia huduma zote unazozipata wewe!Ni kweli fursa zipo mkuu.
Ila ni lazima utoe bidhaa au huduma ndo upate pesa.
Hapo unatoa bidhaa au huduma gani?
Eti 'vijana wamejiajiri' kuna uhakika gani wa app pesa kuwepo miaka 5 kutoka sasa?
Hiyo ni pyramid scheme, hela za waliojiunga sasa hivi inatumika kulipa wa zamani
Itafika mahali uplines ni wengi kuliko downlines, mtashangaa haipo
Hukumbuki mulaempire ya 2021? haya
Yamkini usinielewe mkuu na wengi hawatanielewa lakini kampuni hii hata ukiingia hapo kwenye play store ipo, kazi zake zinajulikana, shida ya watanzania tumezoea kazi za kuajiriwa physical lakini hizi za mtandaoni tunaona kama ni za kitapeli!! Lakini ukweli ni kwamba kuna watu wanaingiza pesa kwenye hii hii mitandaoBoresha uandishi ili kusudi lako liwafikie walengwa unliokusudia
Karibu mkuu inbox nikutumie namba zangu maswali yako yote yatajibiwa wala usiogope mkuu! Achana na mentality ya utapeliAcha Nijizungumzie binafsi,,,Dogo Unanichukuliaje??
Nakuuliza tena!!Dogo umenionaje??Karibu mkuu inbox nikutumie namba zangu maswali yako yote yatajibiwa wala usiogope mkuu! Achana na mentality ya utapeli
Mkuu hiyo link ukija inbox unapewa ni maswala ya kiusalama tu wala usijali ndo maana nilikuambia njoo inbox, siwezi kuiweka hapa hiyo linkmbona ukitaka kujiunga ni mpaka upewe linc kwahyo kwa sisi ambao hatutaki linc tunajiungaje? alafu unaposema ni fursa inam ufaishaje mtu anaetaka kutangaza biashara....
usiniambie nije inbox ww mwagika hapa anaeelewa ataelewa watakaobeza waache wabeze ila baadhi yao watakuja kukuomba uwaelekeze......
Mmbona ukitaka kujiunga ni mpaka upewe linc kwahyo kwa sisi ambao hatutaki linc tunajiungaje? alafu unaposema ni fursa inam ufaishaje mtu anaetaka kutangaza biashara....
usiniambie nije inbox ww mwagika hapa anaeelewa ataelewa watakaobeza waache wabeze ila baadhi yao watakuja kukuomba uwaelekeze......
Karibu sana nduguhii ya leo KAHAWA, na ni ya moto kiasi..
kunyweni taratibu..
fursa hazifichwi weka link hapa tuserebuke nayoMkuu hiyo link ukija inbox unapewa ni maswala ya kiusalama tu wala usijali ndo maana nilikuambia njoo inbox, siwezi kuiweka hapa hiyo link