Mr Masindi
Member
- Aug 17, 2019
- 51
- 47
Wakubwa, mje hapa wakubwa!!Wakuu habari zenu.... Nasikia sikia kwa watu kuwa kakola pana migodi ya wachimbaji wadogo, mwenye kupajua naomba anijuze, nikiwa na milion 1.5, naweza kuwekeza kwenye biashara ipi tofauti na uchimbaji na biashara ya dhahabu?
Kwa sasa napatikana Manyovu kigoma huku. Nmeomba kupata idea kabla sjaamua kuanza safafi.
bro kakola kwa sasa hali sio nzuri.... mgodi ndo kitovu cha uchumi...sasa kumepoa mauzo yameshuka sana...sishauri kwa sasa...Wakuu habari zenu.... Nasikia sikia kwa watu kuwa kakola pana migodi ya wachimbaji wadogo, mwenye kupajua naomba anijuze, nikiwa na milion 1.5, naweza kuwekeza kwenye biashara ipi tofauti na uchimbaji na biashara ya dhahabu?
Kwa sasa napatikana Manyovu kigoma huku. Nmeomba kupata idea kabla sjaamua kuanza safafi.
Nasikia kuna namba 9 na namba2 hali ikoje huko?bro kakola kwa sasa hali sio nzuri.... mgodi ndo kitovu cha uchumi...sasa kumepoa mauzo yameshuka sana...sishauri kwa sasa...
asante..
Kakola ya Sasa sio ile ya miaka ya 2015 kurudi nyuma ila Kama unaenda nenda kwa kufanya utafiti Kwanza ujue ila biashara kubwa Ni vilez huwa iko hot sana kule.Wakuu habari zenu.... Nasikia sikia kwa watu kuwa kakola pana migodi ya wachimbaji wadogo, mwenye kupajua naomba anijuze, nikiwa na milion 1.5, naweza kuwekeza kwenye biashara ipi tofauti na uchimbaji na biashara ya dhahabu?
Kwa sasa napatikana Manyovu kigoma huku. Nmeomba kupata idea kabla sjaamua kuanza safafi.
naam ndo huko bro hali si nzuri kwa sasa... maduara mengi uzalishaji umeshuka na watu wameyakimbia....ila population bado ipo kubwa kiasi....ila kwa uoni wangu si kama mwanzo tulivyokuja...na pia mvua zimeanza anza na maisha yetu huku ni maturubai....sijajua kama ndo msimu umeanza rasmi au ni temporary tu....ila namba tisa pale ni mbuga kabisa kama majaruba ya mpunga....nadhani situation sio nzuri kwa upande wangu..Nasikia kuna namba 9 na namba2 hali ikoje huko?
Wanaendelea na uchimbaji na wanapata japo mashimo mengi kwa sasa wamefikia kwenye maji hivyo uendeshaji umekuwa wa gharama. Jana wamevamia namba 1 wanachimba. Biashara isiyo na presha ni kuuza maji kama unaogopa kuwekeza kwenye dhahabuNasikia kuna namba 9 na namba2 hali ikoje huko?
Namba tisa masika yakianza duara zile zitajaa samaki maana ardhi ile ni ngumu juu tunaam ndo huko bro hali si nzuri kwa sasa... maduara mengi uzalishaji umeshuka na watu wameyakimbia....ila population bado ipo kubwa kiasi....ila kwa uoni wangu si kama mwanzo tulivyokuja...na pia mvua zimeanza anza na maisha yetu huku ni maturubai....sijajua kama ndo msimu umeanza rasmi au ni temporary tu....ila namba tisa pale ni mbuga kabisa kama majaruba ya mpunga....nadhani situation sio nzuri kwa upande wangu..
kweli bro sahv wamejitupa kwenye sesa...namba moja.....afu kuna mashimo yalikuwa kwenye mauzo ya laki 5 kwa mfuko...sahv elfu 30...Wanaendelea na uchimbaji na wanapata japo mashimo mengi kwa sasa wamefikia kwenye maji hivyo uendeshaji umekuwa wa gharama. Jana wamevamia namba 1 wanachimba. Biashara isiyo na presha ni kuuza maji kama unaogopa kuwekeza kwenye dhahabu
Maji ya kunywa haya ya dasani?Wanaendelea na uchimbaji na wanapata japo mashimo mengi kwa sasa wamefikia kwenye maji hivyo uendeshaji umekuwa wa gharama. Jana wamevamia namba 1 wanachimba. Biashara isiyo na presha ni kuuza maji kama unaogopa kuwekeza kwenye dhahabu
Kakola ya Sasa sio ile ya miaka ya 2015 kurudi nyuma ila Kama unaenda nenda kwa kufanya utafiti Kwanza ujue ila biashara kubwa Ni vilez huwa iko hot sana kule.
Ila hapo ulipo na kahama sio mbali Sana na ukifika kahama mjini waha wenzio kibao utawakuta watakupa connection nzuri
Nakushauri usiingie katika biashara ya kununua au kuuza madini
Kahama pazuri tuNa kahama pakoje kibiashara maana nasikia watu ni wengi sana kwa anae pajua anipe mrejesho.
Ndugu kwa maoni yangu kama umeamua kwenda kakola ni sawa ila usiingie kabisa kwenye buashara ya kununua dhahabu, ila ungeweza kwa huo mtaji wako nunua gold detector alafu tafuta vijana wenyeji kodisha itakulipa sana unaweza kuwa kwenye mgao wa 50 elfu per day na zaidiNahisi manengelo ndio chimbo zake hizi.
Kahama Ni kuchele tu watu weng mataifa mbali mbali yako paleNa kahama pakoje kibiashara maana nasikia watu ni wengi sana kwa anae pajua anipe mrejesho.
boss kakola vikole ni sawa na hamna.....mtihani sana hiyo mashine mwisho ataivunja vipande vipande aitafune..Ndugu kwa maoni yangu kama umeamua kwenda kakola ni sawa ila usiingie kabisa kwenye buashara ya kununua dhahabu, ila ungeweza kwa huo mtaji wako nunua gold detector alafu tafuta vijana wenyeji kodisha itakulipa sana unaweza kuwa kwenye mgao wa 50 elfu per day na zaidi
Mgodi wa Bulyanhulu haujafunguliwa bado?boss kakola vikole ni sawa na hamna.....mtihani sana hiyo mashine mwisho ataivunja vipande vipande aitafune..