Ni kweli lakini tatizo ni connection...
Hawataki fursa,Hiv kwann watu hawachangii mada nzur ka hii
Thread ambayo haina kichwa cha habari chenye haya maneno huwezi kupata wachangiajiHiv kwann watu hawachangii mada nzur ka hii
Kuna wakati nilikuwa z'bar nikaenda kwenye hoteli moja ya kitalii, nilikuta watu wakishusha mizigo kwenye gari moja kubwa hapo hotelini, moja ya mizigo hiyo ilikuwa ni mayai na vinywaji vikali (mvinyo).
Nilijaribu kumdadisi mhudumu mmoja pale akaniambia vitu vile vinatoka nje ya nchi, nikashangaa sana, yani hata mayai ya kisasa wanaagiza toka nje ya nchi?
Nilipodadisi zaidi niligundua 90% ya bidhaa zinazotumiwa pale hotelini zinatoka nje ya nchi, sio kwamba hapa tz hazipo hapana! ni kwasababu wabongo wengi ni 'wababaishaji' yan kama amepewa tenda ya mayai 1000 kila wiki, basi atapeleka kwa wiki mbili then wiki ya tatu atakuwa ameishiwa au ataanza kusuasua, hii ndio shida(commitment).
Ukweli ni kwamba kuna fursa za biashara ni nyingi kwenye mahoteli makubwa z'bar wanahitaji bidhaa nyingi mfano vinywaji, matunda,nyama,mayai,
mbogamboga tena kwa bei nzuri sana ila wanahitaji watu committed mf;kuna jamaa alikuwa anawauzia nyama ya
'mbuzi katoliki' sh 17,000@kg
Pia kipindi cha Ramadhan watu wanopeleka nyama ya Kuku,mbuzi ng'ombe wanapiga sana pesa(hii sio hotelini hata mtaani tu).
Tatizo watz tumelala
mpaka toothpick zinaingizwa kutoka nje, hii ni aibu!!
Magogo yanazalishwa Iringa mpaka yanasafirishwa nje tunashindwaje kutafuta/kuagiza mashine ya kutengeneza toothpick? tuamke tuchangamkie fursa wakuu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Si amekwambia amefanya survey ya soko na bado anaendelea kufanya survey ya soko la matunda kwa kama wiki 1 hivi! Au unataka ajisifieMkuu wewe umefanya nini?
Thread ambayo haina kichwa cha habari chenye haya maneno huwezi kupata wachangiaji
-Mbowe kufanya press
-Magufuli atumbua
-Dawa ya kuongeza nguvu za kiume kwa bei chee
-Njia ya kuacha punyeto
-Makonda
-Ccm kuhonga madiwana wa Chadema
-Natafuta jimama
etc....
Yaani shida tupu.... Zanzibar wana uhitaji mkubwa sana wa Nyanya na wale wanao lima Mpunga kipindi cha sikuku na kipindi cha kawaida kuna uhitaji wa Mchele
Inaonyesha unaijua vizuri zenji wewe nataka niwe naleta matikti yangu huko mzee yapi yanasogea?Thread ambayo haina kichwa cha habari chenye haya maneno huwezi kupata wachangiaji
-Mbowe kufanya press
-Magufuli atumbua
-Dawa ya kuongeza nguvu za kiume kwa bei chee
-Njia ya kuacha punyeto
-Makonda
-Ccm kuhonga madiwana wa Chadema
-Natafuta jimama
etc....
Yaani shida tupu.... Zanzibar wana uhitaji mkubwa sana wa Nyanya na wale wanao lima Mpunga kipindi cha sikuku na kipindi cha kawaida kuna uhitaji wa Mchele
Huu ndio ukweli uliowazi kabisaaa bila kumung'unya maneno.Hawataki fursa,
Wanataka kumjadili wema katengeneza sha au laa,
Wana-interviews zao kule na muosha rungu,
Mapenzi ndio mijadal yai( sio mbaya mapenzi yana run dunia),
Wameajiriwa yes hawataki kabisa kwenda nje ya box(in kingwangala articles),
Wanajadili makinikia kwanza mkuu jana si umesikia tumelipwa Au hujui
Mijadala ya kuhegedana ndo tunaipenda mkuu