Fursa ya ushirikiano wa kibiashara

Fursa ya ushirikiano wa kibiashara

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,315
Reaction score
11,673
Wasalaam!

Je, una wazo zuri la biashara lakini huna mtaji wa kuanzisha? Hii ni fursa yako.

Nina mtaji wa TSh Milioni 10 na kutokana na majukumu mengi ya kazi nashindwa kujigawa, ninatafuta kijana mwenye wazo la biashara lenye tija na uwezo wa kusimamia biashara hiyo kwa uadilifu, uwajibikaji na weledi.

Maeneo ya Biashara​

Biashara inapendekezwa kufanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani.

Mahitaji​

  • Awe na wazo la biashara linalotekelezeka na lenye faida.
  • Aandae mpango kazi (Business Plan) unaoelezea:
    • Aina ya biashara
    • Mahitaji ya mtaji
    • Makadirio ya mapato na matumizi
    • Mikakati ya ukuaji wa biashara
    • Jukumu lake katika usimamizi wa biashara
  • Awe tayari kushirikiana kwa uwazi na uwajibikaji.

Jinsi ya Kutuma Maombi​

Tuma mpango wako wa biashara pamoja na maelezo mafupi binafsi.kwa njia ya PM

📅 Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 Oktoba 2026.

📞 Mwombaji atakayechaguliwa atapigiwa simu tarehe 30 Novemba 2026.

Ni vijana wenye nia ya dhati, ubunifu na uwezo wa kusimamia biashara watakaozingatiwa.

KARIBUNI SANA NA KWA UAMINIFU MKUBWA.
 
Wasalaam!

Je, una wazo zuri la biashara lakini huna mtaji wa kuanzisha? Hii ni fursa yako.

Nina mtaji wa TSh Milioni 10 na kutokana na majukumu mengi ya Kigalinashindwa kujigawa, ninatafuta kijana mwenye wazo la biashara lenye tija na uwezo wa kusimamia biashara hiyo kwa uadilifu, uwajibikaji na weledi.

Maeneo ya Biashara​

Biashara inapendekezwa kufanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani.

Mahitaji​

  • Awe na wazo la biashara linalotekelezeka na lenye faida.
  • Aandae mpango kazi (Business Plan) unaoelezea:
    • Aina ya biashara
    • Mahitaji ya mtaji
    • Makadirio ya mapato na matumizi
    • Mikakati ya ukuaji wa biashara
    • Jukumu lake katika usimamizi wa biashara
  • Awe tayari kushirikiana kwa uwazi na uwajibikaji.

Jinsi ya Kutuma Maombi​

Tuma mpango wako wa biashara pamoja na maelezo mafupi binafsi.kwa njia ya PM

📅 Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 Oktoba 2026.

📞 Mwombaji atakayechaguliwa atapigiwa simu tarehe 30 Novemba 2026.

Ni vijana wenye nia ya dhati, ubunifu na uwezo wa kusimamia biashara watakaozingatiwa.

KARIBUNI SANA NA KWA UAMINIFU MKUBWA.
vijana changamkieni fursa hiyo!
Angalizo: msije kuwa nyie ndio fursa yenyewe
 
what if ukanizunguka?
Hapa ndipo tunaanza kutofautiana Kati ya wapambanani na wabangaizaji.

Risk takers watafanya. Kikubwa nataka mtu anaejua anachokifanya. Asiwe mtu wa kuiga bila kujua mpango kazi.
 
Ninq wazo, nina mipango tayari, na nia ya kuliendeleza, issue ni mbili, kwanza mimi si kijana, ni mtu mzima ninayesogelea uzee, pili mimi pia nina issues nyingine zinazoniweka busy muda mwingi, so ni either nikuuzie wazo langu alongside strategies, au tuungane kuli accomplish in other way possible, karibu boss.
 
Huu ndo msumari wa moto
 
Back
Top Bottom