Habari wadau. Natumaini wote wazima. Twende kwenye mada moja kwa moja, Natafuta mtu au kampuni iliyo sajiliwa Tanzania kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara katika kuingiza na kusambaza bidhaa za vinywaji kutoka nje ya nchi (international beverage brand) kwenye soko la Tanzania.
Kwa sasa niko kwenye hatua za mwisho za makubaliano ya agency/distribution na manufacturer wa nje, na ninatafuta mshirika atakayekuwa na uwezo wa kushughulikia upande wa importation, storage na local distribution kupitia kampuni yake.
Wenye interest ya kweli na waliotayari kufanya kazi kitaalamu, tafadhali wasiliane nami kwa ujumbe binafsi (PM).

🔹 Sifa za Mshirika Ninayemtafuta
- Awe na kampuni halali (BRELA, TIN)
- Awe na au awe tayari kuwa na:
- Warehouse / storehouse
- Usafiri wa kusambaza (gari au access ya delivery)
- Awe na interest au uzoefu kwenye:
- FMCG / vinywaji (ni faida, si lazima)
- Awe tayari kufanya kazi kwa uwazi na mkataba
🔹 Ninaleta Nini Kwenye Ushirikiano
- International brand tayari kwa market entry Tanzania
- Mawasiliano ya moja kwa moja na manufacturer
- Market entry plan & support ya awali
- Ushiriki wa moja kwa moja kwenye sales & market development
🔹 Muundo wa Ushirikiano
- Importation na registration zitafanywa kupitia kampuni ya mshirika
- Majukumu, faida na masharti vitawekwa wazi kupitia makubaliano (MoU / Agreement)
- Ushirikiano unaolenga biashara ya muda mrefu, si dili la haraka
📩 Mawasiliano
Wenye interest ya kweli na waliotayari kufanya kazi kitaalamu, tafadhali wasiliane nami kwa ujumbe binafsi (PM).