Oscar Junior
New Member
- Sep 7, 2023
- 3
- 2
Natafuta shule ya kufundisha wanafunzi wenye mahitaji maalumu (ulemavu wa kusikia), mimi ni muhitimu wa Shahada ya awali ya elimu katika elimu maalumu (Bachelor of education in special education) kutoka UDOM,,,
Kama yupo mwanajukwaa ana mchongo huo naomba anichek kwa namba hizi (0685775217/0622511840)
Natanguliza shukrani 🙏🙏🙏
Kama yupo mwanajukwaa ana mchongo huo naomba anichek kwa namba hizi (0685775217/0622511840)
Natanguliza shukrani 🙏🙏🙏