displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
Wakati Serikali inapambana kuhamisha kwenye Mifumo zaidi na kupunguza "paper work" kuboresha ufanisia wa kazi. Mabenki yanapambania fursa za kuboresha maisha ya watumishi kwa njia ya mikopo. Hivyo zile enzi za mwalimu kusaga na lumba kutembelea mabenki kuuliiza uliza habari za mikopo na kujaza fomu za kuomba mikopo kisha kupelekwa kwa maafisa utumishi ili ipitishwe sijui kutoa nakala za barua za ajira au kuthibishwa kazini, vitambulisho, barua za utambulisho ndio upate mkopo sasa huo utaratibu umerahisishwa na mfumo wa ESS. Mtumishi anaweza ona na kujifanyia chaguzi ya taasisi gani ya fedha akope, hadi leo taasisi jumla nane zinajinadi kwa mfumo wa ESS.
Soma: KERO - Watumishi wa Umma wanaotumia Azania Bank wanapotaka ku ‘top up’ mikopo mfumo wa ESS unakataa, inadaiwa ‘mzigo’ umekata benki
Najiuliza hizo rate za riba ni za namna gani reducing ama? na huyo mwenye asilimia 36 ya riba ila hana bima ya mkopo anafidia vipi au kwa hiyo riba yake?
Karibuni mwenye kutujuza zaidi. Naona huyu mwenye riba ya asilimia 13 na ukomo wa mkopo miaka 10 ni market strategy au amajilipua kushindana na wakongwe waliozoeleka kwa muda mrefuuu, kutoa mikopo kwa watumishi wa umma?
EXIM BANK
Wafanyakazi Loan
Maximum Amount : 200,000,000
Minimum Amount: 200,000
Insurance : 0.5%
Max Tenure (Months): 120
Min Tenure (Months): 3
Interest Rate: 13%
=============================
DTB BANK
Rafiki Loan
Maximum Amount : 150,000,000
Minimum Amount: 1,000,000
Insurance : 0.55%
Max Tenure (Months): 108
Min Tenure (Months): 6
Interest Rate: 16%
============================
CRDB
Mkopo wa Mfanyakazi
Maximum Amount : 200,000,000
Minimum Amount: 100,000
Insurance : 0.75%
Max Tenure (Months): 108
Min Tenure (Months): 12
Interest Rate: 16%
===========================
AZANIA
CONSUMER LOAN
Maximum Amount : 150,000,000
Minimum Amount: 200,000
Insurance : 0.4%
Max Tenure (Months): 96
Min Tenure (Months): 3
Interest Rate: 14%
===========================
LETSHEGO BANK
Faidika Watumishi Loan
Maximum Amount : 70,000,000
Minimum Amount: 200,000
Insurance : 0%
Max Tenure (Months): 96
Min Tenure (Months): 6
Interest Rate: 36%
===========================
TCB
Consumer Loan
Maximum Amount : 300,000,000
Minimum Amount: 500,000
Insurance (Distributed): 1%
Max Tenure (Months): 108
Min Tenure (Months): 6
Interest Rate: 16%
===========================
NMB
MKOPO WA MFANYAKAZI
Maximum Amount : 200,000,000
Minimum Amount: 200,000
Insurance : 0.75%
Max Tenure (Months): 120
Min Tenure (Months): 2
Interest Rate: 17%
===========================
NBC
Mkopo Wa Mshahara
Maximum Amount : 200,000,000
Minimum Amount: 100,000
Insurance : 0.75%
Max Tenure (Months): 108
Min Tenure (Months): 12
Interest Rate 18%
Soma: KERO - Watumishi wa Umma wanaotumia Azania Bank wanapotaka ku ‘top up’ mikopo mfumo wa ESS unakataa, inadaiwa ‘mzigo’ umekata benki
Najiuliza hizo rate za riba ni za namna gani reducing ama? na huyo mwenye asilimia 36 ya riba ila hana bima ya mkopo anafidia vipi au kwa hiyo riba yake?
Karibuni mwenye kutujuza zaidi. Naona huyu mwenye riba ya asilimia 13 na ukomo wa mkopo miaka 10 ni market strategy au amajilipua kushindana na wakongwe waliozoeleka kwa muda mrefuuu, kutoa mikopo kwa watumishi wa umma?
EXIM BANK
Wafanyakazi Loan
Maximum Amount : 200,000,000
Minimum Amount: 200,000
Insurance : 0.5%
Max Tenure (Months): 120
Min Tenure (Months): 3
Interest Rate: 13%
=============================
DTB BANK
Rafiki Loan
Maximum Amount : 150,000,000
Minimum Amount: 1,000,000
Insurance : 0.55%
Max Tenure (Months): 108
Min Tenure (Months): 6
Interest Rate: 16%
============================
CRDB
Mkopo wa Mfanyakazi
Maximum Amount : 200,000,000
Minimum Amount: 100,000
Insurance : 0.75%
Max Tenure (Months): 108
Min Tenure (Months): 12
Interest Rate: 16%
===========================
AZANIA
CONSUMER LOAN
Maximum Amount : 150,000,000
Minimum Amount: 200,000
Insurance : 0.4%
Max Tenure (Months): 96
Min Tenure (Months): 3
Interest Rate: 14%
===========================
LETSHEGO BANK
Faidika Watumishi Loan
Maximum Amount : 70,000,000
Minimum Amount: 200,000
Insurance : 0%
Max Tenure (Months): 96
Min Tenure (Months): 6
Interest Rate: 36%
===========================
TCB
Consumer Loan
Maximum Amount : 300,000,000
Minimum Amount: 500,000
Insurance (Distributed): 1%
Max Tenure (Months): 108
Min Tenure (Months): 6
Interest Rate: 16%
===========================
NMB
MKOPO WA MFANYAKAZI
Maximum Amount : 200,000,000
Minimum Amount: 200,000
Insurance : 0.75%
Max Tenure (Months): 120
Min Tenure (Months): 2
Interest Rate: 17%
===========================
NBC
Mkopo Wa Mshahara
Maximum Amount : 200,000,000
Minimum Amount: 100,000
Insurance : 0.75%
Max Tenure (Months): 108
Min Tenure (Months): 12
Interest Rate 18%