Tumeshusha RIBA
Leo tumetangaza punguzo kubwa la riba za mikopo ya kilimo na mikopo ya wafanyakazi ili kuchochea ukuaji wa uchumi nchini;
Riba ya mikopo ya kilimo imepunguzwa kutoka 20% hadi 9%
Riba ya mikopo ya wafanyakazi kutoka 16% hadi 13%
Tembelea matawi yetu sasa kufurahia punguzo hili la riba.
#CRDBBank