SILVANUS MUMBA
Senior Member
- Aug 22, 2015
- 149
- 55
Inakuletea Mafunzo ya Lugha ya Kichina, yatakayo anza Tarehe Sita August 2018.
Mafunzo haya Ni ya Muhimu kutegemea Nchi yetu ni Nchi ya Viwanda na Wawekezaji wengi sana kwa sasa ni Wachina, Changamkia Fursa hii, utakayo lipia Kila Level.
Kupata Maelezo Kamili Please Call the Number iko kwenye Tangazo hapo chini