Fursa ya kibiashara: Diapers za watoto kutoka China, biashara nzuri yenye faida kubwa

Biashara yoyote ukiwa na mtaji mkubwa tu na connection ukakamata soko lazima utapata super profit. Watu wengi hawafanikiwi sana kwenye biashara hasa kukosa mtaji mkubwa na connections hapo namaanisha kama TRA TAA TPA au wizara husika.
Umeongea ukweli tupu
 
Cha kushangaza ni kuwa hawa Wachina wananunua baby formula milk na pampers kutoka Ulaya na kusafirisha kwao.
Milk formula zao hawaziamini kabisa,kulikua na scandal ya lead contamination miaka ya nyuma.
 
Duh wamekufanyeje ?
Tarehe 16 mwezi wa 11 walinitumia message hii hapa chini

Habari **** Name..
Tunapenda kukujulisha mzigo wako kutoka china wenye katoni 1 umefika kwenye godown zetu (CBM 0.0496).Tafadhali kamilisha malipo ya TSH.44,104/= katika ofisi zetu,fanya malipo mapema ili kuepukana na foleni na gharama za utunzaji mizigo(STORAGE)
Malipo yafanyike kupitia;
TZS ACC NO; 20110055838
LIPA NAMBA VODA; 5556666
Asante kwa Kuchagua NUFE CARGO

Mizigo waliipokea tangu tarehe 7 mwezi 9 ilikuwa 3 tofauti... badae nikapeleke miwili tena mikubwa zaidi ya huo.. mzigo wa mwisho wakaupokea mwezi wa 10 tarehe 20...

Anyway.. siku ileile nikaenda kulipia bana.. Wakatafuta weee... awapi mzigo hauku onekana.. wakanambia niondoke wakipanga mizigo watauona kisha wataompa boda boda aniletee kwa gharama zao.. ikawa sio kesi.. mikasema fresh..

Nikasubiri jioni siku ile nikawacheki wakasema haujaoneka...

Nikakaa Alhamisi nikaenda wakanambia unaona mzigo huu leo jioni unatoka tutapata nafasi kubwa ya kusort mizigo hivyo wako utaonekana nikasepa siku hiyo....

Nikakaa Jumamosi nikawacheki hawakupokea simu yangu.. baadae wakazima simu kabisaa...

Nikapata wazo kumcheki boss wao anaitwa Nuhu (Mchina wa Kibingo) kupitia Whatsapp maana kawaida hakupokea.. That time nime FUME kinoma...

Uzuri Jama respond fresh akanambia ni wait nikasema poa...

Jumatatu Leo nimepiga simu mpaka ninechoka haipokelewi..

Badae Mchina akanipigia akasema hayupo Godown ataenda kesho kuucheki..

Ila All in All hawa jamaa wanaonekana ni makanjanja na Wanakautapeli kiaina.. inawezekana ikawa kuna baadhi ya wafanyakazi sio waaminifu..

Anyway kiufupi jamaa mizigo inacheleweshwa kinoma kwa experience yangu na kuipata mzigo kizungumkuti imagine huu ni mzigo wa kwanza.. Sijui itakuwaje ijayo...

Sishauri yeyote kuwatumia jamaa wababaifu sana

Mwisho kabisa hawa jamaa mizigo inakuja ki kiza kiza tuu.. Yaani hupewi.notification yoyote kama mzigo umepokelewa huko china kwenye warwhouse zao.. Yaani ni upumbavu ambao sitakuja urudia tena.. NEVER EVER
 
Bidhaa nyingi Alibaba zipo cheap Sana...vyema ufahamua gharama za usafiri na Kodi ..ndio unaweza pata picha halisi ya profit. Pia hapa bongo ujipange kisawa sawa kwenye marketing kujua utakifikiaje soko...fanya utafiti wakutosha Hadi cost ya mwisho...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Bado kuna mchakato wa kupata ithibati kutoka mamlaka husika zamani ilikuwa TMDA siku hizi sijui MDA na bila kusahau TBS.

Hapa ndipo mtu unaweza kukwamishwa hadi ukakata tamaa.
Lakini ukipambana inawezekana ukatoboa tena inaweza kuwa ni mojawapo ya biashara endelevu na yenye uhakika wa soko kwa muda mrefu.
 
Habari wakuu:

Im real Team 666:

Nimeona bidhaa nyingi kwenye mtandao wa Alibaba ziko cheep kulinganisha na huku kwetu Tanzania mfano wa biashara ya vifaa vya simu, nguo, viatu,nk...

Albaba, Amazon, eBay nk... Ndio kwenye machimbo ya wafanya biashara wa k,koo huko wana-port Via Alibaba sana sana kwasababu hii site ndio inauza vitu vyake for wholesale.

Pampers za watoto bila ya Shipping fee cost wanauza Usd 0.10 dollars ukii-comvert kwa pesa ya kibongo sawa na shilling 239.90. for one pieces.


Simple
Minimum order pieces 100,000 sawa na usd 10,000



Ukifanikiwa kuleta Hadi bongo hizi Pc 100,000 ukiuza elf 10000 kila pieces unakalibia 1 bilion View attachment 1941901

Kumbuka sijaweka transaction fee....
Hiyo sh.10000/= ni bei ya piece moja au box au katoni moja? Na hizo box au katoni ina pieces ngapi?
 
Back
Top Bottom