directa
Senior Member
- Jan 27, 2017
- 102
- 150
habarini.
tumeshuhudia wananichi wakiboreka kutazama filamu za tanzania kwa kuwa za kiwango hafifu kulinganisha na zile za hollywood. kama hollywood mbali basi hata hapo kenya.
unadhani tatizo ni nini?...........
mimi binafsi kama mdau. nadhani tumekosa wataalamu: sio waigizaji wataalamu la hasha bali ni wanaohusika katika matengenezo ya filamu mf. directors, editors, videographers etc na watu wengine wengi wanaohusika na technical department. na pia tumekosa Mitaji.
haimaanishi hawa wataalamu hatuna. la hasha. wataalaamu tunao wakutosha.
ila tatizo kubwa ni mitaji. wataalamu wetu wanafanya kazi katika tight condition + time, vifaa duni vya kushutia. hii inapelekea watu kufanya mbovu zisizo weza kuoneshwa kwenye big screens sio tu africa bali hata hapa bongo. kama mnavyojua, weka pesa upate pesa.
filamu zinapata pesa kwa njia zifwatazo.
-katika uzinduzi. na hii ni baada ya kufanya marketing kama mwezi hivi. zikiwa na trailers, teasers na njia zingine nyingi za marketing utakazoweza kuzibuni, kwenye media zote za East Africa, Africa au Tanzania: kulingana na mtaji wenu. sio kila mtu ata afford kuingia kwenye uzinduzi kwasababu kiingilio hakita kuwa 10000/= tena, since umefanya matangazo mazito, teasers kibao kila mtu anataka kujua hiki nini. unaweza ukafanya hata 30000/=.
-utauza DVD's. watakaoshindwa sasa kuingia kwenye hio uzinduzi. unawatngeneza DVD's kwasababu tiyari inajulikana. utasambaza mwenyewe nch nzima. inategemea na coverage ya trailers zako. kama ilikuwa ni EA, au Africa kwa ujumla.
-kufanya minada wa props. swala hili utafanikiwa kama utakuwa umenunua props. kwamfano umetengeneza movie ya jamesbond, lifanyia mnada gari alilokuwa anatembelea jamesbond. au suti aliokuwa anavaa. na hii inategemeana sana na jinsi huyo character aliyetumia hiyo props anavyo vutia audience wako.
kwa hapa kwetu Tanzania hizi ndizo baadhi ya njia za kupata pesa nizijuazo.
lakini usisahau swala la kuenvest kwenye great stories. and great director.
naweza kuwa sipo sahihi sana. lakini tutumie tatizo kama fursa.
goodbeatusi@yahoo.com
+255 743 978 475