Fursa ya Ajira ya IT

Fursa ya Ajira ya IT

Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
610
Reaction score
749
Abraar Computer Class.

Fursa ya ajira ya kudumu.

Kuna nafasi ya ajira ya Mwalimu wa kufundisha "short courses" za Basic Computer Applications.

Mwalimu awe na uwezo wa kufundisha kwa vitendo (practical) kwa aslimia 90 na theory asilimia 10, kuanzia watoto wadogo mpaka watu wazima adult education)
Salary ni performance based, kutakua na basic salary na allowance kutokana na intake na ufaulu wa wanafunzi.

Kanuni, sheria, maadili mema, nidhamu na miiko yote ya kazi ya ualimu kufuatwa.

Location ya kazi ni Misugusugu, Kibaha, Mkoa wa Pwani Tanzania.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Abdul *Ghafur 0625249605.

Tafadhali wasambazie na wengine.
 
Okay
 
Hongera sana fursa kwa vijana changamkieni na je upo mkoa gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom