Fursa ya Ajira(Wasap no.0652058349)

Braitfyucha

Senior Member
Joined
Feb 22, 2019
Posts
163
Reaction score
187
Habari za muda huu wakuu,
rejea mada tajwa hapo juu

Natamani kuona vijana wa
kitanzania wakipiga hatua kiuchumi mwaka huu wa 2020.

Kama utahitaji njoo pm au nitext kwa namba yangu wasap nimebandika hapo juu

Yeyote anaetaka kuwa huru kiuchumi karibuni.

NB:Sihitaji watu wasiokuwa serious na maisha

Ahsante.


"Life is serious"-Jim rhon.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Broi, hizo fursa unazijua Leo. Mind you, hizo sio fursa, bali wew ndio fursa.

Ukiona the deal is too good, think twice.

Ukijisahau ukaruhusu farasi wako haingie pori hilo, utakuja kujiuliza. Umeokota kamba ya farasi au umepoteza farasi.

nguvu ya anonymous [emoji185]
 
Ni wazo zuri kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi umeshawapata??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goooodmorrningggg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…