Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,576
Salaam
Nimeandaa vitini lengo la vitini hivi kumpa motisha mwanafunzi kujisomea kwa namna vilivyo simple, analyzed na well summarized.
Nahitaji kufanya kazi na walimu katika shule mbalimbali, kwasasa nina vtitini vya History Form One vitini.
Sifa ya notes zake
Sifa za kitini
1) Kitini chote kina jumla ya karatasi 24 zilizo chapwa nyuma na mbele
2) Kimechapwa katika mtindo wa Colum ili kuingia kwenye karatasi chache.
Biashara
Kitini hivi nauza kwa bei ya jumla au kitini kina karatasi 24 zilizochapwa kotekote lakini nampa mwalimu wa hiatory kwa 1000 Tzs kila kitini kimoja alafu mwalimu yeye atauza kwa wanafunzi wake 2000 Tzs kwa kitini kimoja au 1500 Tzs atavyoamua...ila kwa shule nilizoenda kuuza mwenyewe nauza 2000 Tzs.
Mwalimu akichukua vitini 20 kwa 20,000 Tzs atapata mauzo ya 40,000 Tzs ambapo faida 20,000 Tzs.
Fursa Kwa Walimu
Kwa walimu wa History wa Sekondary hii ni fursa nzuri sana
1) Utawasaidia wanafunzi wako kupata materials mzuri affordable.
2) Utapata faida ya nusu kwa nusu.
Baadhi ya pages
Others Models
Pia kama wewe mwalimu nakuletea uuze shuleni utapata 500 Tzs kila kitini kimoja yangu 1500 Tzs kila kitini...ukinunua jumla kwangu na kuuza mwenyewe utapata 1000 Tzs kila kitini kimoja bei ya kuuza 2000 Tzs.
Pia nauza Softcopy ya kitini kwa anayetaka bei 7000 Tzs
Nawasiliaha.........

- Zime-Cover Topic zote
- Zimechambua vizuri mada
- Simple and well summarized
Sifa za kitini
1) Kitini chote kina jumla ya karatasi 24 zilizo chapwa nyuma na mbele
2) Kimechapwa katika mtindo wa Colum ili kuingia kwenye karatasi chache.
Biashara
Kitini hivi nauza kwa bei ya jumla au kitini kina karatasi 24 zilizochapwa kotekote lakini nampa mwalimu wa hiatory kwa 1000 Tzs kila kitini kimoja alafu mwalimu yeye atauza kwa wanafunzi wake 2000 Tzs kwa kitini kimoja au 1500 Tzs atavyoamua...ila kwa shule nilizoenda kuuza mwenyewe nauza 2000 Tzs.
Mwalimu akichukua vitini 20 kwa 20,000 Tzs atapata mauzo ya 40,000 Tzs ambapo faida 20,000 Tzs.
Vitini vitano(5) tu vinarudisha pesa na vinavyobaki vinakupa faida na posaible kuuza hata 50-100 as long as wanafunzi wako chini yako