Fursa sandals za ngozi au za kimasai

Fursa sandals za ngozi au za kimasai

la fiesta

Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
78
Reaction score
37
Habari wakuu, Mimi ni kijana mjasiriamali natengeneza viatu vYa kimasai vYa kiume na vYa kike vYa shanga na visivyo na shanga , uzalishaji kwangu ni PC 200 hadi 300 kwa siku hivyo ninahitaji wanunuzi wa jumla kutoka ndani na nje ya nchi maana uzalishaji wangu ni mkubwa na naweza pia kuzalisha zaidi ya hapo kulingana na mahitaji, ninapatikana dar es salaam . Bei ya jumla kwa pea ni 8500 kuanzia pea 10 nakuendelea , mzigo unapatikana Siku zote tunazalisha , na pia ninahitaji mawakala wa mikoani na nje ya nchi yaanii ukiwa wakala ukiniunganisha na mteja na akachukua mzigo unapata kamisheni yako kiroho safi , tupeane sapoti wakuu tujenge nchi yetu. Kwa mawasiliano zaidi 0762689222 .
IMG_20180914_182926.jpg
IMG_20180914_182811.jpg
IMG_20180914_182555.jpg
 

Attachments

  • IMG-20180914-WA0058.jpg
    IMG-20180914-WA0058.jpg
    58.4 KB · Views: 62
  • IMG-20180914-WA0044.jpg
    IMG-20180914-WA0044.jpg
    38.9 KB · Views: 75
  • IMG-20180914-WA0055.jpg
    IMG-20180914-WA0055.jpg
    61.1 KB · Views: 66
Dah hizo picha zingine zimekaa kimakosa nimeshindwa kuzifuta wakuu mods watanisaidia kuedit kuondoa hizo picha nyingine zibaki za viatu tu
 
Kwanza nakupa hongera sana kwa uthubutu , ongeza matangozo tengeneza page fb na ista , naamini utapata wateja
Asante mkuu nitafanyia kazi ushauri wako hapa jf nimepata wateja wanane tayari na watu wanakuja inbox, pamoja sana mkuu.
 
Habari wakuu, Mimi ni kijana mjasiriamali natengeneza viatu vYa kimasai vYa kiume na vYa kike vYa shanga na visivyo na shanga , uzalishaji kwangu ni PC 200 hadi 300 kwa siku hivyo ninahitaji wanunuzi wa jumla kutoka ndani na nje ya nchi maana uzalishaji wangu ni mkubwa na naweza pia kuzalisha zaidi ya hapo kulingana na mahitaji, ninapatikana dar es salaam . Bei ya jumla kwa pea ni 8500 kuanzia pea 10 nakuendelea , mzigo unapatikana Siku zote tunazalisha , na pia ninahitaji mawakala wa mikoani na nje ya nchi yaanii ukiwa wakala ukiniunganisha na mteja na akachukua mzigo unapata kamisheni yako kiroho safi , tupeane sapoti wakuu tujenge nchi yetu. Kwa mawasiliano zaidi 0762689222 .View attachment 866545 View attachment 866547View attachment 866548
mkuu nilikuja machinga complex kukutafuta wakasema hawakujui nakumbuka pm ulinitajia jina lako walisema hawakujui
 
mkuu nilikuja machinga complex kukutafuta wakasema hawakujui nakumbuka pm ulinitajia jina lako walisema hawakujui
Mkuu ungenipigia simu . halafu Niko bizw sana na kazi ndo maana sijareply muda mrefu kazi ni nyingi ndugu karibu siku nyingine mkuu.
 
Write your reply...shukrani mkuu si upo ghorofa ya chini ile na wale wengine
 
Mkuu mimi nahitaji nipate huo ujuzi unaweza nisaidia kwahilo?
 
Back
Top Bottom