Fursa na ajira

Fursa na ajira

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,428
Reaction score
1,615
Habari za muda huu.
Tambua njia za kujiajiri kwa Tsh.0 - Tsh. 500,000/=
Kama unataka kujiajiri ajira zifuatazo unaweza ukafanikiwa na ukasonga mbele na ukafanikiwa zaidi, kwa mfano wa biashara hizo ni;
1. Ubebaji wa mizigo sokoni, mwaloni, madukani n.k na hii kazi inahitaji nguvu na sio pesa.
2. Ushonaji wa viatu na kusafisha viatu mtaji Tsh.2000/=.
3. Kilimo cha bustani hasa ukiwa kwenye nyumba za kupanga, kwako n.k Tsh. 4000/=
4. Kuuza nguo za mitumba za kike na nguo za watoto mtaji Tsh.10,000/= mpaka Tsh.25,000/=
5. Uuzaji wa matunda maofisini, mashuleni, vyuoni n.k mtaji Tsh.5,000/= mpaka Tsh.30,000/=.
6. Uuzaji wa vitafunwa na chakula mashuleni, gereji, sokoni, na sehemu zenye mikusanyiko mtaji Tsh. 30,000/= mpaka Tsh.100,000/=.
7. Ushonaji wa nguo za watoto wa shule hususani chekechea, familia, jumuiya n.k mtaji ni Tsh.200,000/= mpaka Tsh.500,000/=.
Nyote nawakaribisha na jipatie wazo lako hapo la kibiashara kwa manufaa yako kabisa.
 
Safi , umesomeka vyema sana mkuu

To accomplish much you must first lose everything..
 
Swafii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom