FURSA: Mfumuko wa viwanda vipya ndani ya weeks mbili

FURSA: Mfumuko wa viwanda vipya ndani ya weeks mbili

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,787
Tupige vigelelegeleeee,wapi nduru wapi nduruuuuuuu,ikumbukwe kwa miaka minne tu utawala wa awamu ya tano umejenga viwanda 4,000 vinavyotoa ajira 36,000 yaani kwa ratio ya watu 9 per kiwanda,ni mafanikio makubwa sana yanayodhirisha ukuaji kwa kasi kubwa wa uchumi wetu.

sasa ni hivi wajameni,kuanzia tarehe moja june kunatarajiwa kuwepo viwanda vipya vya kutengeneza mifuko ya makaratasi kwa kutumia magazeti na kubana na stepla ili ku replace mifuko ya nailoni,hii inatarajiwa kuajiri zaidi ya watu milioni 4 na viwanda siyo chini ya milioni moja vitakuwa active

Kutakuwa na ongezeko la uagizaji wa magazeti ya zamani toka china ,uarabuni na hata yale ya nyumbani kama jamvi la habari,Tanzanite,tazama,uhuru ,the echo ...yale yanayoozeaga kwenye news stand yatapata kazi za kufanywa,inatarajiwa pia bei za steplar zitapanda

tayari mafunzo yamenza kutolewa kwa wajasiriamali walioona fursa.
 
Back
Top Bottom