King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,170
- 4,334
The United Republic of Tanzania, President's Office, Public Service Recruitment Secretariat
Recruitment
POST DETAILS
Recruitment
POST DETAILS
| POST | DEREVA DARAJA LA II (DRIVER II) - 514 POST |
| EMPLOYER | MDAs & LGAs |
| APPLICATION TIMELINE: | 2024-08-03 2024-08-16 |
| JOB SUMMARY | NIL |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i) Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari; ii) Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi; iii) Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari; iv) Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali; v) Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari; na vi) Kufanya usafi wa gari. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa mwenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari ( Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au NIT au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. |
| REMUNERATION | TGS. B |