FURSA KWA WATUMISHI WA UMMA

FURSA KWA WATUMISHI WA UMMA

Yasser Kagire

Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
31
Reaction score
21
Mtumishi wa umma, Platinum Credit ni jibu pekee la dharura zako za kifedha. Unapata mkopo wa hadi milioni kumi ndani ya masaa 24 tu. Marejesho ni kuanzia miezi 3 hadi 72. Tembelea ofisi zetu au piga 0686080555 tukuhudumie.
Tembelea:www.platinumcredit.co.tz
IMG_20181121_193946.jpg
 
Mtanyooka na visakosi vyenu hivyo wakati huu wa JPM.
Kwa wiki kazini wanakuja mawakala wa visakosi kama hivi hata makundi 3 tofauti kuja kuwabembeleza watumushi.
Makato yenu ya kihuni sana nyie and the same
 
Tunafanya hivyo ili kufikisha huduma kwa Watanzania wenzetu.. Usawa ni mgumu hakuna anaebisha na ugumu huo huo pia ndo unawafanya watu wahitaji mikopo
 
Platinum ni weizi ata ww unafanya kazi huko na najua hili unalielewa vizuri. Riba yenu ipo juu sanaa. Riba ya 3.75 kwa mwezi ambayo ni sawa na 45 % kwa mwaka wakati mabenk yana riba ya 17% kwa mwaka. Yaani mtu anakopa 4M par 5 yrs anakuja kurejesha 10 M. Sasa si wizi huo
 
Fika ofisini kwa maelezo zaid.. Kwa Dar Es Salaam Tupo Shoppers Plaza, 2nd floor.. Asante
 
Kati ya watu wanaoisoma tarakimu vizuri ni hizi taasisi za kifedha maana watumishi siku hizi hawakopesheki, takehome zao ziko kwenye bar( mwisho wa kukopesheka) na madaraja hawapandishwi, wa hakuna cha kuongeza salary wala incriment watu wamestaki palepale , hivi visakosi vitakufa vyenyewe
 
Back
Top Bottom