Fursa kwa wafanyabiashara za karanga

Fursa kwa wafanyabiashara za karanga

Senior masai

Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
93
Reaction score
99
Kwa watumiaji na wafanyabiashara wa karanga

Tunawakaribisha Segese, Kahama, kwa Adam Piniel Posho Mill. Tunapokea karanga kutoka kwa wakulima na kuuza kwa bei za jumla zikiwa safi na kavu.

Fursa kwa vijana na wafanyabiashara
  1. Tunayo mashine ya kisasa ya kukoboa karanga kulingana na mahitaji ya wateja.
  2. Eneo la kutosha kwa kuanikia karanga mbichi kabla ya kuuza.
  3. Unaweza kununua mzigo moja kwa moja shambani kwa bei nafuu au kuwaajiri machinga wakutafutie mzigo, kisha uje kuuza kwa faida. (Njia hii inaweza kuwa ngumu mwanzoni, lakini ukiizoea, itakuwa rahisi.)
  4. Tunayo godown salama kwa ajili ya kuhifadhi mzigo wako wakati wa manunuzi, likiwa na ulinzi wa kutosha.
  5. Usafiri upo kwa ajili ya kusafirisha mzigo wako pindi utakapokamilika.
  6. Msimu wa mavuno ya karanga huanza mwezi wa 3 hadi wa 6. Kwa mwaka huu, jua ni kali, hivyo mavuno yanatarajiwa kuwa mengi kuanzia mwezi wa 4.
  7. Kumbuka kuweka bajeti kwa gharama za chakula na malazi unapofanya biashara hii.

Fursa kwa mfanyabiashara wa karanga
  • Agiza mzigo kwa ubora unaoutaka, nasi tutakutengenezea kwa bei nzuri.

Asante!
0744 292 410 - Adam

IMG_20250312_183021.jpg



 
Back
Top Bottom