Safi sana hongera mkuuHabarini za Mchana.
Wadau nimefanikiwa kufungua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi maeneo ya Tandika Dar es salaam.
Natafuta mshirika anayejihusisha na biashara ya mahindi kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwa terms tutakazo kubaliana.
Store iliyopo mashineni inaweza chukua Tani 80 za mahindi kwa maramoja.
Tayari tunamasoko kwa uwezo wa kusupply unga takribani tani 40 kwa mwezi.
Yeyote aliyeko interested. Please nicheki tuongee namna tunavyoweza kuinuana kibiashara.
0769630209.
Mkuu ukigoogle humu jf watu kibao washaelezea sana kwa uzuri kuhusu hizi cost.Nam na idea kama yako swal mashine ilikughalim shilling ngap tupe mchanganuo
Nashukuru mkuu vijana tupambane.Hongera sana mkuu.
NISAIDIE KUGOOGLE NIPATE KUJUA HIZO GHARAMA ZA MASHINE ZA KUSAGAMkuu ukigoogle humu jf watu kibao washaelezea sana kwa uzuri kuhusu hizi cost.
Hehe!NISAIDIE KUGOOGLE NIPATE KUJUA HIZO GHARAMA ZA MASHINE ZA KUSAGA
Mkuu nitakutafuta maana nitakuwa nimepata sehemu sahihi ya kuuza mahindi yangu!Habarini za Mchana,
Wadau nimefanikiwa kufungua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi maeneo ya Tandika Dar es Salaam.
Natafuta mshirika anayejihusisha na biashara ya mahindi kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwa terms tutakazo kubaliana.
Store iliyopo mashineni inaweza chukua Tani 80 za mahindi kwa maramoja. Tayari tunamasoko kwa uwezo wa kusupply unga takribani tani 40 kwa mwezi.Yeyote aliyeko interested.
Please nicheki tuongee namna tunavyoweza kuinuana kibiashara.
0769630209.
Asantee kwa kutuongezea kiwanda kingine, keep it upHabarini za Mchana,
Wadau nimefanikiwa kufungua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi maeneo ya Tandika Dar es Salaam.
Natafuta mshirika anayejihusisha na biashara ya mahindi kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwa terms tutakazo kubaliana.
Store iliyopo mashineni inaweza chukua Tani 80 za mahindi kwa maramoja. Tayari tunamasoko kwa uwezo wa kusupply unga takribani tani 40 kwa mwezi.Yeyote aliyeko interested.
Please nicheki tuongee namna tunavyoweza kuinuana kibiashara.
0769630209.
Toa jibu mzee sio umpe tena jukumu lingneMkuu ukigoogle humu jf watu kibao washaelezea sana kwa uzuri kuhusu hizi cost.