Fursa hii kudate na wanaume wengi!

Ingekuwa bongo mdada huyu saivi angekuwa na majina haya
Malaya
Kahaba
Mbeba waume za watu
Jobless
Slay queen

Mwanaume utakayemuita mwanamke malaya kuanzia leo wewe ni mbweha kumbe kuna tuzoo.
 
Ingekuwa bongo mdada huyu saivi angekuwa na majina haya
Malaya
Kahaba
Mbeba waume za watu
Jobless
Slay queen

Mwanaume utakayemuita mwanamke malaya kuanzia leo wewe ni mbweha kumbe kuna tuzoo.
Tuzo ya malaya bora.
 
huyo anashikilia rekodi sababu tu ni kuwa alikuwa ameolewa...
wafanye utafiti wa KE aliyelala na ME wengi tuone wazungu wangapi wataingia kumi bora
 
anamwakilishi mzuri uganda tanzania kenya na southafrika

naye ni...
 
Bongo lazima upewe majina ya ajabu ajabu
Ila dyudyu inawazeesha sana wanawake hasa wakiwa wanapigwa nazo na wanaume tofauti tofauti, huyo bibi anavyoonekana kama mwanamke mwenye miaka 90. Hebu mcheki Her Majesty The Queen ambae yupo over 80 na huyo mama nani anaonekana mzee?
 
Wazungu bhana,asa hiyo sifa nzuri au laana..we kupigwa na wanaume wote hao eti nao ni ujasiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…