Wewe ni m-EU?tunaaply vp
atajenga magu
Tafuta pass ya kusafiria ukiwa nayo ndio uombe muongozo mzuriMkuu tupe connection tuindokane na kina bashite hapa dar
Passport ninayo mkuu
Hivi inakuwaje nchi yenye wengi kiasi hicho na kila siku watu wanakimbilia huko wakose wafanyakazi. Kuna siku nilisoma kuwa wana uhaba wa madereva wa magari makubwa mpk nikashangaa inakuwaje. Kwa maana hiyo hata sisi tukiwa serious tunaweza futa kabisa tatizo la ajira.
kwa mfano bado hatuna ngano ya kutosha
Mafuta ya kutosha
Chakula cha kutosha
Vyuo vya kutosha
shule za kutosha
Tuna shortage ya nyumba kiwango kikubwa mno.
Mfano wa mdogo kama kiwanda cha tumbaku tu kinaweza kikawa na wafanyakazi 3000. Kumbe kukiwa na kama hivyo vitatu tu tunaweza punguza ongeza 6000.
Kumbe tukiwa na viwanda vya marumaru kama vinne vikubwa tunaweza punguza labour shortage kwa kiwango kikubwa sana.
Kumbe kukiwa na free pass ya raia kutoka nchi nyingine za africa kuja fanya manunuzi tunaweza jitengenezea soko kubwa sana.
Mungu atupe nini mtu anakubali kuhongwa milion 500 ili mfano tu azuie ujenzi wa hospitali flan kumbe angeweza ruhusu, angejenga hospitali au hostel na kwa mwaka akaingiza mara kumi ya kile kiwango

Baby ukipata link unipe na mimiMkuu tupe connection tuindokane na kina bashite hapa dar
Mzee baba.. Naomba unikumbuke kwenye ufalme wa Ujerumani. Passport ipoKweli bby tusepe bongo, kesho nikitoka mishe zangu nitaenda pale ubalozi wa germany kuuliza mimi huwa sina noma. Niakaendeshe hata tipa la takataka huko.
Sawa fanya hivyo babyKweli bby tusepe bongo, kesho nikitoka mishe zangu nitaenda pale ubalozi wa germany kuuliza mimi huwa sina noma. Niakaendeshe hata tipa la takataka huko.