Fursa: Biashara za kuuza sare za chama mikutanoni

Drop shipping Tanzania

Senior Member
Jun 15, 2020
198
472
Habari wakuu,

Mimi ni mjasiriamali mdogo nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza Flana na kofia (sare) za chama kama vile CCM na CHADEMA na ACT wazalendo kwenye mikutano Yao.

Je Kuna yoyote mwenye taarifa kuhusu hii biashara?

Nawasilisha na Shukurani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom