ukiona mtu analia sababu ya uzi huu kama uko karibu naye mtandike kofi zito.Atalia mtu sasa hivi[emoji2210]
kila aina ya kiatu huwa na bei na zingatia now bei imepanda sababu ya shilingi kudumaa toka 330 yuan mwaka jana now 379 forex .Hapo unaweza kuona bidha zinavyopanda soon tz.Pia usijali nitacheki design zingine kwa unafuu zaidiBoss samahani kama naharibu biashara . I was into nikuagize ila hizi bei. Mbona ghali sana kwa kuagiza. Unaweza review bei zako, haswa kwa dizain ya viatu vyako. Maana atleast mtu aweke dukani auze kwa 15,000. Or badrisha supplier.
Mkuu kati ya biashara ya vipodozi na viatu ipi ina mzinguko mkubwa?Biashara yangu hii kuna siku ntakucheck, kwa sasa naPin hii post
According to the trending, Biashara ya vipodozi ndio inamzunguko mkubwaMkuu kati ya biashara ya vipodozi na viatu ipi ina mzinguko mkubwa?
Vipodozi....japo viatu huwa mzunguko ni msimu na faida zake ni kubwa kuliko vipodozi.According to the trending, Biashara ya vipodozi ndio inamzunguko mkubwa
Bei bado ni hizo?View attachment 2734635
View attachment 2734636
View attachment 2734637
View attachment 2734638
View attachment 2734640
View attachment 2734642
View attachment 2734643
View attachment 2734644
View attachment 2734645
Bei Ya China Bila Usafiri 11500 kwa pea
Makadirio Usafiri kwa meli 2000-3000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo)
Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45
Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 60
Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 500 kila pea
*****************************************************************
Gharama kiujumla
Bei ya kiatu 11500+Usafiri 2000+Mimi 500=14000
14000x60=840,000 Gharama Kiujumla
Unaweza kulipa kwa hatua tatu
1.Bei 11500x60=690,000 hapa tunanunua na kuanza usafiri
2.Usafiri 2000x60=120,000 unalipia baada ya mzigo kufika (siku 30-45 tangu siku ya manunuzi)
3.Gharama zangu 500x60=30,000 unalipia baada ya kupokea mzigo wako
******************************************************************************
Biashara Hii Bongo
Bei kwa katoni (pea 30) kila pea 16000
Bei kwa dazeni (pea 12) kila pea 17000
Bei Kwa Jumla (pea 5) kila pea 20000
Bei rejareja (pea 1) 25000-30000
********************************************************************
Karibuni Nitaendelea kupost bidhaa zaidi kulingana na muitikio wenu
Salim Mhina
0713055107
Morogoro Mjini
Nipo na na kama m 18 nawaza nifungue biashara ipi kati ya hizoAccording to the trending, Biashara ya vipodozi ndio inamzunguko mkubwa
Mkuu nipo na M 18 nawaza kati ya biashara hizo mbili nifungue ipiVipodozi....japo viatu huwa mzunguko ni msimu na faida zake ni kubwa kuliko vipodozi.
kumbe unavitoa china hongerakila aina ya kiatu huwa na bei na zingatia now bei imepanda sababu ya shilingi kudumaa toka 330 yuan mwaka jana now 379 forex .Hapo unaweza kuona bidha zinavyopanda soon tz.Pia usijali nitacheki design zingine kwa unafuu zaidi