Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,054
- 3,263
Sijui ni kwanini manendelea kucheza na dira za vijana wa hii nchi .
Juzi mlikua mwanza mkatumia muda mrefu saana kukasanya vijana na kufanya kile mnachokiita ni utengenezaji wa fursa , sina uhakika tafsiri ya fursa kwenu ni nini haswa but mm natamfsiri kile kilichofanyika pale ni Siasa , Lobbing na
siasa
Necture ya watu mliowaalika wengine walikua ni wanasiasa , wengine hata walikua hawahusiki na mkoa husika , mkageuza tukio lile kuwapa wanasiasa uwanja wa kuendelea kupata coverage za media bila kuongea kilichokusudiwa .
Lobbing.
Kwa vile lengo lenu lilikua ni Fiesta basi mliona ule ndio muda wenu kamili kutumia njia ya kuita FURSA kumbe ni kujitangazia Fursa ninyi wenyewe . Ila kwa mtu mwenye akili pana lengo lenu lilikuwa wazi kabisa ni kuwaita na kuwahamasisha watu kuja kwnye FIESTA siku iliyofuta .
Mkitaka mjue hakuna kilichofanyika juzi kwa kile mlichokiandaa, kapitieni Notebook za baadhi ya vijana walihudhuria , kila mmoja akuambie ni nini alinote , hakika hutakuta kitu zaidi ya kichwa cha habari .FURSA 2016...NA NENO ''IMOOO''
Nataka niwashauri kitu kwa ufupi tu ,
Fusra si kualika watu na kututolea Ushuhuda wa Maisha yao toka wanazaliwa mpaka hapa walipo, tena wengi wenu mnaowatumia hawajua hata ni kwanini wapo hapo walipo.
Fursa ni kumsukuma mtu kwa nyenzo aweze kutoka mahala flani kwenda hatua niyngine .
Ni nn mfanye ,
Mkiwa kama Media kubwa mna nguvu kubwa ya kufanya na kuleta tangible impact kuliko kuwa na wazungumzaji tu kila siku studio.
Hiz naration za maisha ya watu zimeandikwa sana kwnye vitabu nadhani zinatosha kabisa kua kama chachu . Kwa sasa yatupasa kufanya hatua fulani kila tunapokutana kwa mwamvuli wa kutengeneza Fursa .
Iteni watu/vijana wenye Idea zao , mzichambue kisha mziwekee mitaji ninyi wenyewe kama clouds , hapo ndipo tutazalisha Fursa .
Fanyeni Fundraising.
Kuna wengi sana wenye uwezo wa kutoa nguvu za pesa pamoja na Machine , waiteni wawekeni chini na vijana hao wenye idea kisha kazi ifanyike .
Maswala ya kuita watu kutoa simulizi Fupi za Maisha yao ni kupotezeana muda na kutiana moyo katika njia za kudanganya huku mkibaki kunufaika ninyi wenyewe .
naisifu saana Project ya Kina Salama Jabir ,nadhani ile projrct ya BSS ni FURSA kuliko chochote Clouds Mlichowahi kukibuni nyie kwa Ground ya Fursa .
NNACHOKILAANI ZAIDI MNATUMIA WATU AMABAO HATA WAO UKIWAULIZA WAMEFIKAJE HAPO WALIPO HAWAJUI.