- Thread starter
- #41
Muundo wa kawaida 750,000/=Kitanda 5×6 mninga beigani?
Muundo wa kawaida 750,000/=Kitanda 5×6 mninga beigani?
Mmmmm mbona bei kubwa sana?Muundo wa kawaida 750,000/=
Naona umemchomolea jamaa betriHuyu jamaa ni tapeli na msumbufu sana,hapo alipo ana madeni kibao,uaminifu kwenye biashara hana.
Kila siku tunaona wateja wake wanakuja kumdai pesa,wengi anawakimbia,nakupa tahadhari wewe mnunuaji,nunua ila usije kutuma pesa kwake bila kuona kitu,mimi namjua fika in and out.
Naona umemchomolea jamaa betri
Tuambie unapatikana wapi kisha weka namba ya simu.Karibu katika uzi huu maalum kwa ajili ya biashara ya furniture...
Nitakuwa nauza furniture mbalimbali kama sofa, dinning table, vitanda, kitchen cabinets sambamba na makabati bei ya mnada (rafiki kwa mtanzania)
Tembelea uzi huu ili kupata mahitaji kwa ajili ya nyumba au ofisi yako
Bei zetu ni rafiki kwa kila mtanzania wa kipato cha kawaida
View attachment 1236573View attachment 1236574View attachment 1236575View attachment 1236579View attachment 1236581View attachment 1236583View attachment 1236584View attachment 1236586
Mimi nipo hapa keko,na naona mambo yake,kwa kweli kazi zake ni nzuri ila uaminifu hana.
Kuna jamaa kama wawili anawasumbua sana,mmoja wa mikoni huko,kila akija kudai pesa jamaa hayupo,huyo jamaa nasikia alituma pesa atengenezewe kitanda na sofa ila fundi hadi leo hajatengeneza yaani toka mwezi wa kwanza mwaka huu.
huyo jamaa wa mikoani nasikia ni mtu mkubwa tu serikalini,sasa hakupenda kuweka figisu ili fundi asipoteze uelekeo.
Karibu katika uzi huu maalum kwa ajili ya biashara ya furniture...
Nitakuwa nauza furniture mbalimbali kama sofa, dinning table, vitanda, kitchen cabinets sambamba na makabati bei ya mnada (rafiki kwa mtanzania)
Tembelea uzi huu ili kupata mahitaji kwa ajili ya nyumba au ofisi yako
Bei zetu ni rafiki kwa kila mtanzania wa kipato cha kawaida
View attachment 1236573View attachment 1236574View attachment 1236575View attachment 1236579View attachment 1236581View attachment 1236583View attachment 1236584View attachment 1236586
Niletee 100 pcs nipo hapa La Chaz sinza mori
Ninacho used kipo vizur sana laki 250Kitanda 5×6 mninga beigani?
Ninacho used kipo vizur sana laki 250
750,000sofa bed ikiwa na side lamps pamoja na kile kistuli kirefu cha pembeni ni sh ngapi?
Bado kipo?
Wapi kasema ml10?