Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,760 Reaction score 16,884 May 5, 2015 #21 DVD25 said: Unless huna wageni waleee wanaofika mjini kwa kutumia ubungo bus terminal Click to expand... Akili kisoda hizi, Bado unaamini Dsm pekee ndo kuna nyumba nzuri....kiruuu kweli bora ushamba kuliko kuwa na akili kisoda!
DVD25 said: Unless huna wageni waleee wanaofika mjini kwa kutumia ubungo bus terminal Click to expand... Akili kisoda hizi, Bado unaamini Dsm pekee ndo kuna nyumba nzuri....kiruuu kweli bora ushamba kuliko kuwa na akili kisoda!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,630 May 5, 2015 Thread starter #22 Billie said: Hii imekaa vizuri ila,sio kwenye familia ya watoto 7 mengine yakiwa matundu Click to expand... Unawapiga marufuku kuingia sebuleni
Billie said: Hii imekaa vizuri ila,sio kwenye familia ya watoto 7 mengine yakiwa matundu Click to expand... Unawapiga marufuku kuingia sebuleni
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 May 5, 2015 #23 Hizo ni furniture za garden huo si ukumbi bali hapo ni nje inavyoonekana!!