Furahisha macho na hii sebule

Chini kuzuri, lakini hiyo dari (ceiling) mbona kama kichanja cha kuanikia kahawa? Au ndo swaga

Huo ndo uclassy wenyewe kama hujagundua!! Ushazoea ceiling board huh??
 
Nzuri sana ila Kwa mitoto ya kibongo siku moja tu unakuta sebule nyeusiiiii haitamaniki!
 
Unless huna wageni waleee wanaofika mjini kwa kutumia ubungo bus terminal
 
nice design...kutiana uchungu tu hiyo picha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…