Kwani hiki ni kitu kipya? Mbona ndiyo maisha yetu ofisini yanavyosonga kama wired network inakuwa na tatizo?1.Chukua smartphone yako au tablet/phablet then nenda kwenye "settings","Click "More..."
2.Click "Tethering and portable hotspot" then W-ifi -hotspot utaiona sehemu ya kuweka password yako
4.Weka ON hapo kwenye 'Wifi-hotspot' then ENJOY!
Kwani kila mmoja huwa anakuja ofisini kwenu? Kwa hiyo kama wewe umefundishwa ofisini kwenu hutaki wengine wajue? Kama wewe unajua pitiliza tu kwenye hii thread.Mimi ninaelimisha those who deserves.Kwani hiki ni kitu kipya? Mbona ndiyo maisha yetu ofisini yanavyosonga kama wired network inakuwa na tatizo?
Nani kakwambia jina "Genius one" limetokana na thread hii? Usi-generalise eti kila MTU anajua. Who told you? Ndio ulichojifunza shuleni kuwa na fikra za aina hiyo? Duu our country has a great burden.BRAZA HILO TU UNAJIITA GENIUS DUUH HIYO MBONA KILA MTU ANAJUA TOKA SMARTPHONE ZILIPOKUJA...!!
Wewe ndio tukusamehe bure maana roho yako imejaa choyo na ubinafsi.Sasa kama kitu unakijua kwanini unasoma? Kwanini Usipite zako? Kwani kila kitu lazma uchangie? Watu wanajiunga na forums mbalimbali duniani daily including JF .Where is the problem? Hoja za kitoto don't waste my time.Peace!Jamani tumsamehe bure tu alikuwa ajui ukiangalia page yake ndio kaja Jamii forums hivi majuzi tu.
Punguza povu, fanya tathmini tu fupi katika post yako wa ngapi wamekushukuru kwa kuwa fungua macho? Hayupo kwa kuona hivyo utagundua post za kufundisha watu juu ya tethering ni nyingi sana mpaka imefika wakati imekuwa common knowledge katika hili Jukwaa..Wewe ndio tukusamehe bure maana roho yako imejaa choyo na ubinafsi.Sasa kama kitu unakijua kwanini unasoma? Kwanini Usipite zako? Kwani kila kitu lazma uchangie? Watu wanajiunga na forums mbalimbali duniani daily including JF .Where is the problem? Hoja za kitoto don't waste my time.Peace!
I don't disrespect unknown people like you. I think, either your stupidity or your dirt mind made you to think so.
I'm sorry. I meant different from what you understood
Unataka nikwambie idadi ya walionishukuru so what? And who are you by the way? Hizo ni akiri za mkopo.Kwa hiyo wewe ulijiunga na forum hii ili utafute sifa? Pole!Punguza povu, fanya tathmini tu fupi katika post yako wa ngapi wamekushukuru kwa kuwa fungua macho? Hayupo kwa kuona hivyo utagundua post za kufundisha watu juu ya tethering ni nyingi sana mpaka imefika wakati imekuwa common knowledge katika hili Jukwaa..
Kama watu wenye experience tusikilize, kabla ya kufungua mada search kama aijawaposted. maana mada hii imewekwa sana na kuna watu wamecover better than even yourself.
Katafute size yako,umepotea njia. Byee!So this is how Huey felt when he uttered these words.
Kweli asee....maana matus mengine yakiandkwa kwa lugha ya kiswahili yanakua makubwa makubwa na mngn hvyo hvyo yakiwa kwa kizungu, lkn hii hua vice versaLugha za watu hizi jamani, tuzitendee haki.
Faiza unaaanza kuni quote?Lugha za watu hizi jamani, tuzitendee haki.
Acha ubishi wewe, au tukuwekee link za mwaka jana zilizozungumzia kitu hiki? Fungua hapa:Kwani kila mmoja huwa anakuja ofisini kwenu? Kwa hiyo kama wewe umefundishwa ofisini kwenu hutaki wengine wajue? Kama wewe unajua pitiliza tu kwenye hii thread.Mimi ninaelimisha those who deserves.
Kwa hiyo? Sasa kwenye hii thread unatafuta nini wakati wajua nyingine zipo? Kwanini usibaki huko? Hivi hizo links/ threads unaona zime-cover every angle? Siku nyingine jaribu kushirikisha ubongo kabla ya kupost.Acha ubishi wewe, au tukuwekee link za mwaka jana zilizozungumzia kitu hiki? Fungua hapa:
Nawezaje kutumia Tethering and portable hotspot?
Sasa hivi watu wanazungumzia application za tethering, wewe bado unaizungumzia tethering yenyewe! Soma na hii:
Jinsi ya kutuma mafile kwa kutumia WIFI from any laptop to your smartphone
mi sijakuelewa,kwa laptop inawezekana bila modemu kweli?
labda unipe ujanja wakuifanya modem yangu ya voda itumie laini zote.
.pls msaada tafadhari.