Maisha ya kibongo bwana! Tofauti ya Mtoto wa geti na wa kiswazi ni hii hapa:
Mtoto wa geti akijikwaa utamsikia akisema "ooh! My God/ Jesus Christ". Mtoto wa uswazi kama wewe ukijikwaa utasikia aah "kumamake sijuwi ------ gani ananisema au ndio nisharogwaa tayarii""""