jamaa mmoja alikaaa kando ya bahari akionekana na mawazo sana.muda kidogo akatokea rafiki yake na kumuuliza vp ndugu yangu mbona unawaza sana leo.
jamaa:aaaaaah hapa nafikilia hii bahari ingekuwa supu sijui ningeimaliza kwa chapati ngapi.