Watoto wanaonesha wamepitiliza kwa hisia za furaha baada ya Mh.Raisi kuwatembelea.
Huyo wa pili kushoto ana viatu si ajabu ni mtoto wa mtu mkubwa huko, na si ajabu walipewa amri wasio na yebo yebo mkae nyuma msije mbele.
Hivi Mheshimiwa hajisikii kuguswa na maisha ya watoto hawa?? maana anaonekana kama ameridhika kabisa na hali waliyonayo. Wanaonekana hawana hata madarasa ya kusomea, hawana waalimu wa kutosha, umaskini umewazunguka! Wapi ilani ya Uchaguzi ... Elimu bora kwa kila mtoto
Hivi Mheshimiwa hajisikii kuguswa na maisha ya watoto hawa?? maana anaonekana kama ameridhika kabisa na hali waliyonayo. Wanaonekana hawana hata madarasa ya kusomea, hawana waalimu wa kutosha, umaskini umewazunguka! Wapi ilani ya Uchaguzi ... Elimu bora kwa kila mtoto
Watoto wanaonesha wamepitiliza kwa hisia za furaha baada ya Mh.Raisi kuwatembelea.
Kama Mtanzania wa kawaida haguswi kwa nini yeye aguswe?