hao wakamatwe wafungwe na ikibidi watimuliwe nchiniWanaofurahi ni wale vigogo na familia zao waliotumbuliwa, wenye vyeti feki, mafisadi na wana ufipa.
Mi katika yote magu nimempendea kutumbua vyeti feki, ila kasoro kawapendelea majeshini.Wanaofurahi ni wale vigogo na familia zao waliotumbuliwa, wenye vyeti feki, mafisadi na wana ufipa.
hii ni sawa mumeo akunyime hela ya mboga halafu unafurahia nyumba yenu kubomoka.Nyie mnapotudhulumu haki zetu sie wanyonge mnadhan huwa hatuumii eh?leo mnamtafta mchawi na huku mchawi ni nyinyi wenyewe!...tena msitukere!
Kimsingi nilitaka kujua je watu wanafurahi kwa sababu pengne hawanufaiki na hiyo miladi au kuna tatizo lingne linalopelekea haya tunayoyaona...hii ni sawa mumeo akunyime hela ya mboga halafu unafurahia nyumba yenu kubomoka.
watu watakuona kama umesharukwa na akili.
Na akina Bensaanane nao hufurahiWanaofurahi ni wale vigogo na familia zao waliotumbuliwa, wenye vyeti feki, mafisadi na wana ufipa.
ndugu, futa neno "nchi" badala yake weka "serekali" halafu tuanze kujadili mada.Kutokana na Ndege yetu kuzuiwa na mahakama kuu nchi South Africa, nimepitia mitandao ya kijamii kusoma maoni ya watu ambao ni wananchi na wanufaikaji pengne wa kila miladi inayoihusu nchi.
Jambo la kusikitisha watanzania wanafurahi kwa kitendo cha ndege yetu kuwekewa kizuizi.
Kabla sijawalaumu nimejiuliza maswali
1. Kwanini wanafurahi serikali inapokuwa kwenye migogoro fulani?
Swali hili limekuja baada ya kujiridhisha kuwa si hili tu la Air Tanzania bali imekuwa ni jambo la kawaida wananchi kufurahi pale nchi (serikali) inapokuwa kwenye migogoro.
2. Je Serikali inajifunza nini kupitia wananchi wake wanapofurahi pale inapokuwa na migogoro ya aina hii?
3.Je kama nchi tunapaswa kufurahi au tuwe na namna nyingne ya kufikisha ujumbe kwa serikali ili kuwajibika inavyopaswa?
4.Je Serikali inajua chanzo pelekewa kwa wananchi kufurahia pindi inapokuwa na migogoro? Kama ndio je haioni kutafta suluhisho la tatizo?
Pamoja na maswali yangu lakini Leo ningependa kujua swali msingi ni Kwanini tunafurahi nchi inapoingia kwenye migogoro? [emoji848][emoji848]
Si kwamba watu wanafurahi serikali kuingia kwenye migogoro, bali wanafurahi pale ukweli unapojitokeza. Serikali imekuwa ikinjima uhuru wa habari na inafanya mambo kisirisiri sana. Imejitahidi kuwaziba watu midomo ni pia wengine kuumizwa au kupotea bila taarifa kutolewa.Kutokana na Ndege yetu kuzuiwa na mahakama kuu nchi South Africa, nimepitia mitandao ya kijamii kusoma maoni ya watu ambao ni wananchi na wanufaikaji pengne wa kila miladi inayoihusu nchi.
Jambo la kusikitisha watanzania wanafurahi kwa kitendo cha ndege yetu kuwekewa kizuizi.
Kabla sijawalaumu nimejiuliza maswali
1. Kwanini wanafurahi serikali inapokuwa kwenye migogoro fulani?
Swali hili limekuja baada ya kujiridhisha kuwa si hili tu la Air Tanzania bali imekuwa ni jambo la kawaida wananchi kufurahi pale nchi (serikali) inapokuwa kwenye migogoro.
2. Je Serikali inajifunza nini kupitia wananchi wake wanapofurahi pale inapokuwa na migogoro ya aina hii?
3.Je kama nchi tunapaswa kufurahi au tuwe na namna nyingne ya kufikisha ujumbe kwa serikali ili kuwajibika inavyopaswa?
4.Je Serikali inajua chanzo pelekewa kwa wananchi kufurahia pindi inapokuwa na migogoro? Kama ndio je haioni kutafta suluhisho la tatizo?
Pamoja na maswali yangu lakini Leo ningependa kujua swali msingi ni Kwanini tunafurahi nchi inapoingia kwenye migogoro? [emoji848][emoji848]
Watz wengi wana roho za kichawi, ndio maana hufurahi wenzake au hata ndugu zake au serikali yake inapopata matatizo, ni uchawi tu
Kutokana na Ndege yetu kuzuiwa na mahakama kuu nchi South Africa, nimepitia mitandao ya kijamii kusoma maoni ya watu ambao ni wananchi na wanufaikaji pengne wa kila miladi inayoihusu nchi.
Jambo la kusikitisha watanzania wanafurahi kwa kitendo cha ndege yetu kuwekewa kizuizi.
Kabla sijawalaumu nimejiuliza maswali
1. Kwanini wanafurahi serikali inapokuwa kwenye migogoro fulani?
Swali hili limekuja baada ya kujiridhisha kuwa si hili tu la Air Tanzania bali imekuwa ni jambo la kawaida wananchi kufurahi pale nchi (serikali) inapokuwa kwenye migogoro.
2. Je Serikali inajifunza nini kupitia wananchi wake wanapofurahi pale inapokuwa na migogoro ya aina hii?
3.Je kama nchi tunapaswa kufurahi au tuwe na namna nyingne ya kufikisha ujumbe kwa serikali ili kuwajibika inavyopaswa?
4.Je Serikali inajua chanzo pelekewa kwa wananchi kufurahia pindi inapokuwa na migogoro? Kama ndio je haioni kutafta suluhisho la tatizo?
Pamoja na maswali yangu lakini Leo ningependa kujua swali msingi ni Kwanini tunafurahi nchi inapoingia kwenye migogoro? [emoji848][emoji848]
So tatizo ni ushirikishwaji kwa wananchi kama wadau wakubwa wa miladi na maendeleo yao[emoji3581]Si kwamba watu wanafurahi serikali kuingia kwenye migogoro, bali wanafurahi pale ukweli unapojitokeza. Serikali imekuwa ikinjima uhuru wa habari na inafanya mambo kisirisiri sana. Imejitahidi kuwaziba watu midomo ni pia wengine kuumizwa au kupotea bila taarifa kutolewa.
Sasa inapojitokeza zile siri zilizokuwa zimefichika zinakuwa wazi, basi watu wanafurahi kupata habari.