Arch - Forum Tz
Member
- Sep 20, 2019
- 15
- 35
Ndiyo tunafuraha lakini umejiuliza maswali yafuatayo?
Unadhani kwanini watoto wa mama mkubwa hawataki katiba mpya?
Dawa pekee ni kuiondoa tu ccm madarakani! Iwe kwa njia ya amani, au hata kwa kutumia nguvu. Ccm ndiyo chanzo kikuu cha matatizo ya watanzania walio wengi.
Umeapa,unaiondoaje CCM yenye dola?Dawa pekee ni kuiondoa tu ccm madarakani! Iwe kwa njia ya amani, au hata kwa kutumia nguvu. Ccm ndiyo chanzo kikuu cha matatizo ya watanzania walio wengi.
Hii aliacha mwendazake . Yoote yaliopitishwa bungeni ilikuwa mipango yake miovu. Aende salama. Nashua nami nitafuata lakini bora ametangulia .Naita furaha ya maiti kwakua sasa jamii iliyoumia na kukaa kiunyonge kwa miaka mingi inafurahia namna mpya ya maisha yasiyo ya vitisho lakini ukweli ukibaki palepale kuwa bado jeneza na kaburi ni lilelie ila sanda pekee ndiyo imebadilishwa.
=> Kwanini makato ya miamala yaongezeke
=> Kwanini Mafuta yapande bei
=> Kwanini tatizo la ajira halijatatuliwa hata kiduchu
Najua utasema ni mabadiliko katika uchumi wa dunia, swali ni je, umeshirikishwa katika maamuzi na mchakato katika mabadiliko hayo?
Ndiyo maana nikasema hii ni furaha ya maiti.
Wengine tunapeleleshwa tu na hawa washika nchi🤔Swala ni kufurahia kifo cha jpm, wewe hawajakwambia wenzako??
Nawewe utakufa.Hii aliacha mwendazake . Yoote yaliopitishwa bungeni ilikuwa mipango yake miovu. Aende salama. Nashua nami nitafuata lakini bora ametangulia .
Usiongee mambo bila kujua... bajeti ilikamilika tangu February huyo maiti alikuwa hai....Naita furaha ya maiti kwakua sasa jamii iliyoumia na kukaa kiunyonge kwa miaka mingi inafurahia namna mpya ya maisha yasiyo ya vitisho lakini ukweli ukibaki palepale kuwa bado jeneza na kaburi ni lilelie ila sanda pekee ndiyo imebadilishwa.
=> Kwanini makato ya miamala yaongezeke
=> Kwanini Mafuta yapande bei
=> Kwanini tatizo la ajira halijatatuliwa hata kiduchu
Najua utasema ni mabadiliko katika uchumi wa dunia, swali ni je, umeshirikishwa katika maamuzi na mchakato katika mabadiliko hayo?
Ndiyo maana nikasema hii ni furaha ya maiti.
Kuna sehemu umeona nimeapa? Mimi nimesema dawa pekee ni kuiondoa ccm! Sasa huku ni kuapa, au ni kutoa suluhu ya tatizo?Umeapa,unaiondoaje CCM yenye dola?
Mpaka ufikirie kuiondoa wao watakuwa wapi?
Muombe Mungu akupe afya na chakula.