Furaha ya kila mzazi

Well said Mkuu! Na picha kama hivi huwashawishi sisi vijana bachelor tutafute mabinti wa kuoa ili kujenga familia bora na sio bora familia LAKINI maumivu ya kichwa huanza pale unampompenda binti mrembo kabisa wa 20s years lakini anakupiga kwenzi kichwani kwamba bado anaendelea kuchagua......halafu akifika 30s years anaanza kukesha kwenye maombi Mungu ampe yeyote mwenye nia ya kumuoa

Nyie wadada wazuri tuhurumieni jamani waoaji, mtupe nafasi na sisi tufyatue watoto wazuri kama hao.....UZURI WENU UNA MWISHO MJUE....shauri zenu!
 
[emoji23] [emoji1]
 
Yap kweli ingawa kwa uhusiano wetu wa kuibia ikifika hatua hii ni stress
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Itabidi nizae sana ili niwe na furaha sana
 
Uko sahihi mkuu
 
Dah, kama kuna ke alietayari tufyatue wetu katika msimu huwa 2017/18 basi aseme
 
Watoto wanaonekana wana afya nzuri, ni furaha kwa wazazi ila unaweza kuta wewe mzazi mwanaume unalea mtoto wa mwenzako hapo, wanawake wengine ni makatili sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…