Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Mmiliki/Mkurugenzi wa Furaha Media na mwanasiasa Furaha Dominick, amemjia juu Askofu Josephat Gwajima kutokana na mkutano wake alioufanya na waandishi wa habari hivi karibuni huku akiongelea masuala mbalimbali yanayoendelea nchini ikiwamo sakata la utekaji
Pia, Soma: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Furaha amesema hayo Mei 27, 2025 akiwa Makao Makuu ya ofisi za Furaha Media mkoani Dar es Salaam katika mkutano wake na waandishi wa habari.
"Gwajima alivyoona upepo wa Magufuli mgumu akapunguza kasi akamshawishi mzee akaaminika, hamjui nimekaa na Gwajima zaidi ya mara 20 na nilivyokuwa nasema huyu ni muongo na ni muhuni Watanzania hawakunielewa, tunajua historia yake, hana uhalali wa kuongea ajenda yoyote kwa wananchi, hakuna mtu anafurahia masuala ya utekaji lakini Gwajima hana uhalali wa kuongelea ajenda hiyo ", amesema.