Wewe ni bogus...Dotto Biteko aliteuliwa 30 August, 2023 na kuapishwa 1 September, 2023. Siku ya kuapishwa mhe rais alitoa miezi 6 kero za umeme ziwe zimemalizika.
Kimahesabu kutoka 1 September 20223 mpk leo 15 December 2023 bado miezi 2 na nusu muda uwe umeisha. Lkn sioni mipango, mikakati wala mbinu za Biteko kuondoa kadhia na kashda za umeme hapa nchini.
January Makamba akiwa waziri wa nishati alionesha mikakati, mipango, dira na mbinu za kuondoa shida na kashda za umeme. Makamba alikuwa mkweli kwa kusema kuwa itachukuwa muda kulimaliza tatizo.
Lkn maadui na mahasimu wa Makamba (ambao kwa sehemu kubwa ni sukuma gang) walikuwa wakipiga kelele kana kwamba matatizo ya umeme kayaleta Makamba. Mama akaona isiwe shida kamteua Dotto Biteko Siwasikii tena kusema ingawa matatizo yanaongezeka lkn kwa kuwa ni sukuma gang mwenzao wameufyata.
Sasa hili fupa la umeme halitamwacha salama Biteko. Litamchafua tu. Kumbukeni akina Karamagi, Msabaha, Muhongo, Ngereja, n.k. Huyu Kalemani aliponea mgongo wa udikteta wa jiwe aliyebinya uhuru wa vyombo vya habari na ule wa watu kujieleza. Vinginevyo naye angechafuka tu.
Biteko amewekwa kwenye mtego wa umeme.
Katika hao wote Le Profeseri Muhongo alitatua kero ya kukatika umeme ovyo na kuchelewa kupata huduma toka watu wa dharula wa TANESCO.salama Biteko. Litamchafua tu. Kumbukeni akina Karamagi, Msabaha, Muhongo, Ngereja, n.k. Huyu Kalemani aliponea mgongo wa udikteta wa jiwe aliyebinya uhuru wa vyombo vya habari na ule wa watu kujieleza. Vinginevyo naye angechafuka tu.
Huyu Biteko ndiyo kaja kuharibu kabisaKatika hao wote Le Profeseri Muhongo alitatua kero ya kukatika umeme ovyo na kuchelewa kupata huduma toka watu wa dharula wa TANESCO.
Mvurugano ukaanza kwa Kalemani akaja kuvuruga kila kitu Januari Makamba.
Yaani Biteko anakwenda kufubaa kisiasa kupitia hiki cheo kipya. Hana pa kutokeaKwenye siasa kabla ya kushangilia chunguza mtego uko wapi. Unapewa vyeo double na bado deliverance ni poor. Si bora angebaki na kimoja?
Yeye anadhani kuongea kwa virungu vya biblia ndiyo uongozi. Dotto hata shule hana kichwani. Alikuwa mwalimu wa primary. Bogus kabisa.HV doto anweza nn wew hyo wizara angepewa mkwe Dr mchengerwa angesadia sna doto anachoweza Ni kunukuu vifungu vya bibilia hata speach yak Ni mbaya snaa [emoji6]
Nyuso zimewashuka hawana cha kusema, maana mvua zinanyesha mpk milima inaporomoka lkn mgawo unaendelea. Dotto Biteko bure kabisa huyu.Wenye nongwa walikuwa wakimsakama Januari Sasa kikowapi?
Anapewa mtego wa vyeo ili aboronge akose pa kuhemea, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye siasa kabla ya kushangilia chunguza mtego uko wapi. Unapewa vyeo double na bado deliverance ni poor. Si bora angebaki na kimoja?
Dotto Biteko aliteuliwa 30 August, 2023 na kuapishwa 1 September, 2023. Siku ya kuapishwa mhe rais alitoa miezi 6 kero za umeme ziwe zimemalizika.
Kimahesabu kutoka 1 September 20223 mpk leo 15 December 2023 bado miezi 2 na nusu muda uwe umeisha. Lkn sioni mipango, mikakati wala mbinu za Biteko kuondoa kadhia na kashda za umeme hapa nchini.
January Makamba akiwa waziri wa nishati alionesha mikakati, mipango, dira na mbinu za kuondoa shida na kashda za umeme. Makamba alikuwa mkweli kwa kusema kuwa itachukuwa muda kulimaliza tatizo.
Lkn maadui na mahasimu wa Makamba (ambao kwa sehemu kubwa ni sukuma gang) walikuwa wakipiga kelele kana kwamba matatizo ya umeme kayaleta Makamba. Mama akaona isiwe shida kamteua Dotto Biteko Siwasikii tena kusema ingawa matatizo yanaongezeka lkn kwa kuwa ni sukuma gang mwenzao wameufyata.
Sasa hili fupa la umeme halitamwacha salama Biteko. Litamchafua tu. Kumbukeni akina Karamagi, Msabaha, Muhongo, Ngereja, n.k. Huyu Kalemani aliponea mgongo wa udikteta wa jiwe aliyebinya uhuru wa vyombo vya habari na ule wa watu kujieleza. Vinginevyo naye angechafuka tu.
Biteko amewekwa kwenye mtego wa umeme.
upuuzi tu.Dotto Biteko aliteuliwa 30 August, 2023 na kuapishwa 1 September, 2023. Siku ya kuapishwa mhe rais alitoa miezi 6 kero za umeme ziwe zimemalizika.
Kimahesabu kutoka 1 September 20223 mpk leo 15 December 2023 bado miezi 2 na nusu muda uwe umeisha. Lkn sioni mipango, mikakati wala mbinu za Biteko kuondoa kadhia na kashda za umeme hapa nchini.
January Makamba akiwa waziri wa nishati alionesha mikakati, mipango, dira na mbinu za kuondoa shida na kashda za umeme. Makamba alikuwa mkweli kwa kusema kuwa itachukuwa muda kulimaliza tatizo.
Lkn maadui na mahasimu wa Makamba (ambao kwa sehemu kubwa ni sukuma gang) walikuwa wakipiga kelele kana kwamba matatizo ya umeme kayaleta Makamba. Mama akaona isiwe shida kamteua Dotto Biteko Siwasikii tena kusema ingawa matatizo yanaongezeka lkn kwa kuwa ni sukuma gang mwenzao wameufyata.
Sasa hili fupa la umeme halitamwacha salama Biteko. Litamchafua tu. Kumbukeni akina Karamagi, Msabaha, Muhongo, Ngereja, n.k. Huyu Kalemani aliponea mgongo wa udikteta wa jiwe aliyebinya uhuru wa vyombo vya habari na ule wa watu kujieleza. Vinginevyo naye angechafuka tu.
Biteko amewekwa kwenye mtego wa umeme.
Hv mwl wa Primary sifa yake ni bogus kweli.hv ww hukupita primary school mdogo wangu?naomba tuache dharau kwa walimu tafadhali.Yeye anadhani kuongea kwa virungu vya biblia ndiyo uongozi. Dotto hata shule hana kichwani. Alikuwa mwalimu wa primary. Bogus kabisa.
Mwalimu wa primary siyo bogus. Lkn hastahili hata kuwa waziri achilia mbali naibu waziri mkuu.Hv mwl wa Primary sifa yake ni bogus kweli.hv ww hukupita primary school mdogo wangu?naomba tuache dharau kwa walimu tafadhali.
So what kama alikuwa mwl wa primary kila mtu anasehemu ya kuanzia mbona leo ni Phd holder.Yeye anadhani kuongea kwa virungu vya biblia ndiyo uongozi. Dotto hata shule hana kichwani. Alikuwa mwalimu wa primary. Bogus kabisa.
Kitu chochote kinachosimamiwa na Serikali hakiwezi kuwa na mafanikio kutokana na aina ya watu waliopo huko Serikalini. Ni kama serikali inawatafuta watu wenye uwezo duni kabisa kuwa viongozi.Suala la umeme ni jenga kwa taifa na umma umepoteza pesa nyingi sana,kwenye ufisadi kuhusu umeme.
Lawama asipewe Biteko maana hata Honorable causa umeme umemshinda.